wassira

  1. CM 1774858

    PreGE2025 Wassira: Ukitenda mema lazima utalipwa mema Rais Samia kafanya mema mengi Watanzania watamlipa mema

    === Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kutokana na kazi nzuri aliyoifanya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne, anastahili kulipwa mambo mazuri ikiwemo kudumisha amani na mshikamano. Wasira ameyaeleza hayo jana Karagwe...
  2. Jidu La Mabambasi

    Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

    Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru. Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi. ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY. Haya ni matusi kwa CCM.
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira aipa siku 14 kampuni ya GDM kuwalipa wakulima wa kahawa Rungwe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa Kahawa wa wilaya ya Rungwe ndani ya siku 14, baada ya malalamiko ya wakulima hao kuwasilishwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Machi 18, 2025, katika stendi...
  4. mdukuzi

    Kisa cha Steven Wassira kuitwa 'Tyson' aliwahi kuzipiga kavukavu na rafiki yake Kipenzi hadharani wakigombea...

    Siwezi kuandika hapa walichokuwa wakigombea ila itoshe kusema huyo bwanaalikuwani rafiki yake watangu utoto,diwani wamwananyamala enzi hizo,Bwana CBN,walukuwa maeneo ya Kinondoni Vijana Social Hall. Ghafla zilipigwa ngumi hatari. Kipindihicho Tyson yupo juu kimafanikio. Wasira alimtandika ngumi...
  5. W

    PreGE2025 Wassira awaunga mkono vijana kugombea ubunge na udiwani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Wasira ametoa rai hiyo leo Machi 16,2025, alipokuwa akizungumza na Wana CCM Wilaya ya...
  6. W

    PreGE2025 Wassira asimikwa uchifu Mbeya

    Makamu Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg.Stephen wasira amefika tayari Mkoa Wa Mbeya tayari kwa ziara ya Sikuu Nne ambapo atatembelea wilaya zote za Mkoa Wa Mbeya kwa Ajili ya Kusikiliza kero za Wananchi pamoja na kufanya vikao mbalimbal na Viongozi wa CCm Mkoa WA MBEYA Baada ya kufika...
  7. W

    PreGE2025 Wassira: Hakuna kupita bila kupingwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Katika hotuba yake, Wasira alifafanua kuwa hakutakuwa na...
  8. Kabende Msakila

    PreGE2025 Stephen Wassira: Mtu mahiri, mbobezi, na mzalendo kwa Taifa

    Wanabodi, Salaam! Namzungumzia nguli wa siasa na diplomasia nchini - mwamba wa nchi - chuma cha pua Mhe Stephen Masatu Wassira. # Ni nadra sana kupata kiongozi mwenye umri mkubwa kama Wassira - kiumweli ukilinganisha umri wake na kazi afanyazo huwezi kuamini; # Mzee Wassira ana uwezo wa...
  9. J

    PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  10. Richard

    PreGE2025 Uchambuzi: CCM kumteua Steven Wassira ni onyo kwamba watashinda uchaguzi wa 2025 kwa gharama yoyote, CHADEMA ijipange kwa uchaguzi wa 2030 na si 2025

    Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    Lissu Amjibu Wassira

    https://youtu.be/P-e08q4WqDs?si=rhQ1idwPKk3IMKlw
  12. W

    PreGE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  13. Just Pray

    Wasira: Wengine ni vibaraka wakubwa, waache uhuni na nchi yetu, sisi tunaongoza dola kwa idhini ya watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
  14. El Roi

    Wassira, mtu aliyepitwa na wakati. ( Man out of the hours)

    Kwa malezi niliyoyapata toka kwa wazazi wangu na makuzi mengine katika maisha, huwa Sina kawaida ya kudharau mtu. Na naomba chapisho langu lisionekane kuwa personal na Mzee wassira bali litazamwe kama jicho la ukweli wangu. Malezi hayo pia yamenifanya kuwa mkweli na mtu ambaye naweza kuongea...
  15. Carlos The Jackal

    Hoja anazoaminia Makamo Mwenyekiti CCM Mzee Wassira dhidi ya Akina LISSU

    LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita . Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani ) Tukiwapa Urais Amani itapotea. Amani ya Nchi hii tutailinda Kwa gharama zote. Hao ni vibaka na walopokaji . Daaah Hivi kabisa kabisa Dola kwamba...
  16. W

    PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election' "Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa...
  17. W

    PreGE2025 Wassira: Wanaosema CCm imekaa sana walikuwa wapi wakati tunadai uhuru

    "Ndani ya nchi yetu kuna vibaraka ambao wanasema CCM imekaa muda mrefu sana, na mimi nawauliza walikuwa wapi wakati tunadai uhuru, nawauliza tulipokabidhiwa uhuru tulipatana nao tutakaa kwa muda gani? Kama wana huo mkataba wauoneshe" Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Mapinduzi...
  18. Akilindogosana

    Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

    Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee
  19. E

    Mawe yamefika Ikulu, CCM wamtuma Wassira "atueleweshe" Samia kapitishwaje

    DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana.. Wassira kaja na hoja kwamba: Mkutano Mkuu can do anything. Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu - wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba wanatumbuiza - waende "KUONDOA VIKWAZO." https://youtu.be/IMpd59VFxqY?si=eOyHa3FW216q-r2_ Swali Je...
  20. Li ngunda ngali

    Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

    Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
Back
Top Bottom