Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka viongozi na makada wa chama hicho kuachana na vinyongo na hasira iliyosababishwa na uchaguzi mkuu uliopita na badala yake waunganishe nguvu katika kuijenga nchi.
Wasira amesisitiza kuwa viongozi wanaoomba kuchaguliwa katika nyadhifa za...
Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito.
kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amepuuza madai kuwa Tume ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman inaweza kuwa na upendeleo kwa Serikali, akifafanua kuwa lengo la tume hiyo si "kuichunguza serikali" bali ni kuchimbua chanzo cha ghasia zilizotokea wakati na...
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote.
Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano.
Soma mwenyewe hapa chini.
"Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya...
Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie?
Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI?
Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣?
Haya majitu ni majitu ya ajabu...
Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA
Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31
Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
Huyu Mzee alikuwa na jeuri, majivuno na kiburi Cha kufa mtu.
Kama kawaida Mungu si Abdul Wala Mchengerwa,tarehe 29 October, Gen Z wa bunda walipiga kiberiti nyumba ya Mzee wasira.
Kwa aibu serikali na chama walijitahidii Sana hii habari isivume kwenye social network.
Baada ya kibanda chake...
Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu.
Mshaurini ukweli na utawaweka huru!
Nyote watatu semeni Amen.
Naona CCM wanaendelea kukazia kwamba vijana tulilipwa na NGO's kufanya maandamano mbona hawasemi walipora uchaguzi na kuuwa wenzetu :FeelsWeirdMan:
------------
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumiwa kuhatarisha amani...
Hivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini?
Kwamba hakuna watu wengi wakapewa, anapaswa akacheze na wajukuu wake
=========
Akizungumza kwenye Mahafali ya 20 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
Ustaadhi kagongelea hapo kwamba CCM ya wanamuona Wasira ndio damu yao inayochemka. Wanamuona kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka. Hawezi kwenda na kasi ya kizazi cha sasa.
Ndio maana kila akisimama jukwaani, anaongea Pumba. Mzee anajua neno moja tu...
Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu.
Amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.