wasifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    Wasifu wa Brigedia Moses Nnauye

    𝐁𝐑𝐈𝐆𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐌𝐎𝐒𝐄𝐒 𝐍𝐀𝐔𝐘𝐄, 𝐊𝐮𝐳𝐚𝐥𝐢𝐰𝐚:5/7/1937 𝐊𝐮𝐟𝐚𝐫𝐢𝐤𝐢:6/12/2001 𝐊𝐚𝐳𝐢: 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐞𝐬𝐡𝐢 𝐉𝐖𝐓 ∆.𝐁𝐫𝐢𝐠𝐞𝐝𝐢𝐚 𝐌𝐨𝐬𝐞𝐬 𝐍𝐚𝐮𝐲𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐳𝐚𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐭𝐚𝐫𝐞𝐡𝐞 5/7/1937 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐚 𝐰𝐚 𝐋𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐡𝐮𝐤𝐨 𝐂𝐡𝐢𝐮𝐭𝐚,𝐍𝐲𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐣𝐢𝐦𝐛𝐨 𝐥𝐚 𝐌𝐭𝐚𝐦𝐚. 𝐇𝐮𝐲𝐮 𝐧𝐢 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐬𝐢𝐚𝐬𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐫𝐮𝐟𝐮 𝐧𝐚 𝐦𝐛𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐌𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐢𝐰𝐚 𝐍𝐚𝐩𝐞 𝐍𝐚𝐮𝐲𝐞. 𝐇𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚...
  2. E

    GE2025 Wasifu wa wagombea urais 2025

    Jamii Forums inakuletea wasifu wa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano kwa mwaka huu 2025. Tutaendelea kutoa nafasi kila wasifu unapopatikana kupitia uzi huu. 1. Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan- Wasifu Samia Suluhu Hassan aliyezaliwa Januari 27, 1960, Zanzibar sehemu ya, ni Rais wa...
  3. Roving Journalist

    GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  4. U

    Naomba kujua wasifu kamili CV ya Shehe maarufu nchini Kipozeo

    Amebobea kwenye eneo gani hasa? Karibuni
  5. Chakaza

    Wasifu wa Hayati David Msuya; Alikuwa Mwanachama CCM Asiye na Tabia za CCM

    Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya. Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM. Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha...
  6. Erythrocyte

    Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

    Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa) Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa. Wasifu wake...
  7. GENTAMYCINE

    Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  8. kiredio Jr

    Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
  9. M

    TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

    Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara. ===== WASIFU Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali...
  10. milele amina

    Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  11. Nehemia Kilave

    Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  12. Replica

    Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

    Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila Kuzaliwa: August 01, 1978 Mahali: Mbeya Elimu Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995) Kazi Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza kujishughulisha na biashara ya madini na uchimbaji na mabasi makubwa yaendayo mikoani. Familia Alifanikiwa...
  13. Kaka yake shetani

    Wasifu wanao weka wengi kwenye tovuti ya bunge na serikali hakuna ukweli

    Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani. mmoja mbunge X kuna chuo kaweka alichosoma ukitafuta sehemu zote unaona ni kiwanda cha kutengeneza dawa za mifugo. Hii nchi...
  14. mkalamo

    Nigeria wasifu Mchakato uchaguzi nchini India

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria Yusuf Maitama Tuggar siku ya Jumapili aliwapongeza watu wa India na Waziri wa Mambo ya Nje S Jaishankar kwa "kuonyesha hadhi yao kama ngome ya kidemokrasia duniani." Yusuf Maitama Tuggar alisema mchakato wa uchaguzi wa India ulidumu kwa siku 44 na akauita kuwa...
  15. Mhaya

    Kwanini wasifu wa marehemu waliohama CCM na kisha kurudi huwa hawaandiki historia ya vyama pinzani walivyohamia?

    Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais. Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea urais, lakini siku ya msiba hawakusoma historia ya yeye kujiunga na...
  16. F

    Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  17. figganigga

    Wasifu wa Moise Katumbi

    Moise Katumbi, mfanyabiashara tajiri wa nchini Kongo ambaye pia ni mwenyekiti wa klabu inayoongoza ya soka nchini humo ya TP Mazembe ni mpinzani wa muda mrefu anayewania urais katika uchaguzi wa 2023. Maisha binafsi Moïse Katumbi alizaliwa tarehe 28 Desemba 1964 sasa ana miaka 58. Mama yake ni...
  18. Fantastic Beast

    Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

    Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi. Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za...
  19. Dr Matola PhD

    Funzo tunalopaswa kujifunza kufuatia kifo cha mwenzentu Le Mutuz, tuandike wasifu wetu wenyewe

    Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe. Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake...
  20. JanguKamaJangu

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
Back
Top Bottom