washindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawapa tuzo washindi 9 Shindano la MAWAZO BUNIFU

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha huduma za kodi na kuongeza wigo wa kodi. Akikabidhi tuzo hizo, vyeti pamoja na hundi kwa washindi hao Februari 25.2026, Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa...
  2. Allen Kilewella

    Oktoba tunatiki au No reforms No election Nani waliibuka washindi?

    Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi. Baada ya uchaguzi kufanyika, jee kati ya pande hizo mbili , ipi wameibuka washindi?
  3. S

    Waliotangazwa washindi kwenye kilichoitwa uchunguzi mkuu wa 2025, naona ni watu wasio na furaha na wanajihisi kukosa political legitimacy

    Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka. Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
  4. Dalton elijah

    Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF Kwa Mwaka 2025

    LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2025 ✅Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2025 barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Afrika. ✅Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi ndiye...
  5. Wakusoma 12

    PostGE2025 Jaribio la kuhatarisha usalama wa taifa lilianza uchaguzi mkuu 2020 idara na mamlaka wakajiona washindi sasa tunavuna matokeo

    Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
  6. D

    GE2025 Majimbo mawili ambayo washindi wapili ni uhakika watarudi kuwa ndio wapeperusha bendera ya ccm

    Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
  7. S

    Watu waelewe kuwa propaganda za chama tawala ni namna ya kutafuta kisingizio kwamba wameshinda uchaguzi mkuu, hata wasiposhinda watatangazwa washindi

    Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
  8. Mchochezi

    Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  9. Roving Journalist

    Othman Masoud: Tunaingia kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 tukiamini sisi ni washindi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema wanaingia kwenye uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu wakiamini wao ni washindi katika uchaguzi huo kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar. Othman ameyasema hayo leo Aprili 16, 2025 wakati alipokuwa akizungumza na Waandishi...
  10. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Mwishooni kabisa mwa hizi sarakasi za Siasa CCM ya Mzee Kikwete, Kinana, Makamba, Nape itaibuka kidedea na washindi

    Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana. Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
  11. L

    JF Music Awards 2024: Karibu uwajue washindi wa tuzo hizi za muziki

    Hello! Leo ndio ile siku ya kujua wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki Tanzania kwa mwaka 2024. Tuzo hizi zimeandaliwa na wanachama wa jf ku represent jukwaa letu hili la jamii. Washindi wa vipengele mbalimbali wamepatikana kutokana na utafiti na ukusanyaji wa maoni mbalimbali...
  12. FK21

    WASHINDI WAJAO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

    Jamani hii ni FOOTBALL BALL , easy tu man
  13. J

    Hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024

    Matukio yaliyoendelea katika hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change iliyofanyika Septemba 21, 2024 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Wageni Mashuhuri wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau ambaye alikuwa Mgeni...
  14. Blasio Kachuchu

    Vodacom yatangaza washindi wa kampeni ya ni balaa

    Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni ya Vodacom, Abednego Mhagama akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni ishirini kwa mshindi wa kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi Bi. Beth Mayunga kutoka Mbeya mnamo tarehe 5 Novemba 2024 katika hafla iliyofanyika katika duka la Vodacom...
  15. Lady Whistledown

    Tuzo za Tanzania Music Awards kutolewa Okt. 19, 2024, kina nani kuibuka Washindi?

    Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Vipengele...
  16. N

    Mashindano ya Mapishi ya Kitaa Festival Yatikisa Manzese, Washindi Wapatikana

    Tamasha la Kitaa Festival la Kampuni ya Coca-Cola limeanza rasmi Jumamosi hii, likiwatembelea wakazi wa Manzese Bhakresa jijini Dar es Salaam kufurahia utamaduni wa vyakula vya asili vya Watanzania. ‘Bakhresa Kitaa Fest’ iliwaunganisha wapishi, mashabiki wa vyakula mbalimbali, watu maarufu, na...
  17. JamiiForums

    2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 2 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    Zimesalia Siku 2 kuelekea Hafla ya utoaji wa Tuzo za Stories of Change Msimu wa 4. Septemba 21, 2024 maandiko bora yenye tija yaliyoangazia katika kuijenga 'Tanzania Tuitakayo' ndani ya miaka 5- 25 yatazawadiwa. Aidha Wazalishaji Bora wa Maudhui ndani ya JamiiForums.com watatambuliwa na...
  18. JamiiForums

    2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 3 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    Zimebaki siku 3 tu kufikia hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inayotarajiwa kufanyika Septemba 21, 2024. Kupitia maandiko yanayoangazia "TanzaniaTuitakayo" Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta mbalimbali...
  19. JamiiForums

    2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 4 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    Bado siku 4 tu kufikia Septemba 21, 2024, ambapo tuzo zitatolewa kwa Washindi wa Awamu ya 4 ya Shindano la Stories of Change (SoC). Mwaka huu (2024), kupitia maandiko ya washiriki kwa ubunifu mkubwa yamelenga kuboresha mustakabali wa Tanzania kwa kipindi cha Miaka 5-25, kwa kuzingatia Dhima ya...
  20. JamiiForums

    2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 5 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    Zimesalia Siku 5 tuu kuelekea Septemba 21, 2024, Usiku Maalum wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo kwa Washindi wa awamu ya 4 wa Shindano la Stories Of Change Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta za mbalimbali Nchini kwa...
Back
Top Bottom