wapo

The Washington Post (also known as the Post and, informally, WaPo) is an American daily newspaper published in Washington, D.C. It is the most-widely circulated newspaper within the Washington metropolitan area, and has a large national audience. Daily broadsheet editions are printed for D.C., Maryland, and Virginia.
The newspaper has won 69 Pulitzer Prizes, the second-most of any publication (after The New York Times). Post journalists have also received 18 Nieman Fellowships and 368 White House News Photographers Association awards. The paper is well known for its political reporting and is one of the few remaining American newspapers to operate foreign bureaus.
The Post was founded in 1877. In its early years, it went through several owners and struggled both financially and editorially. Financier Eugene Meyer purchased it out of bankruptcy in 1933 and revived its health and reputation, work continued by his successors Katherine and Phil Graham (Meyer's daughter and son-in-law), who bought out several rival publications. The Post's 1971 printing of the Pentagon Papers helped spur opposition to the Vietnam War. Subsequently, in the best-known episode in the newspaper's history, reporters Bob Woodward and Carl Bernstein led the American press's investigation into what became known as the Watergate scandal, which resulted in the 1974 resignation of President Richard Nixon. The advent of the internet expanded the Post's national and international reach. In October 2013, the Graham family sold the newspaper to Nash Holdings, a holding company established by Jeff Bezos, for $250 million.

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

    Maana wanatambua kuwa uongozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini Hiki sio kilimo cha selfie
  2. Wachezaji kama Kisinda wapo wengi Tandika

    "Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini" Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma. My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
  3. Yanga wamedhoofu, ni kama wao ndio wapo ugenini wanakatisha tamaa!

    Wanavyocheza yanga nikama tayari wameshapata goli nne, kama wasiposhinda goli 3 leo ndio basi tena!
  4. Nchi inaenda vizuri, wazee wa kulalamika siku zote wapo tu hawakosi

    To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa . Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu. Vijana wanapambana life goes on Vitu vimepanda Bei Sana lakini hela ukijituma unapata and you can afford to pay bili zako...
  5. Mmoja wa wachezaji hawa wa Yanga SC ndiyo atavaa hirizi ya timu leo

    1. Farid Musa 2. Bakari Mwamnyeto 3. Feisal Salum Fei Toto Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe. Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
  6. CHADEMA wapo kimya, CCM wanawayawaya

    CHADEMA wapo kimya ila CCM wenyewe kila siku ndiyo wamekuwa wasemaji kwa niaba ya CHADEMA. Yaani CHADEMA wakitaka kusema CCM wanatumia vyombo vya dola kuwazuia kusema, wakikaa kimya bado inakuwa nongwa. CCM wanaanza kuuliza "Mbona CHADEMA wapo kimya".
  7. J

    Naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Alitop na SUNDAR

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop na SUNDAR anisaidie kujua strength na weakness zake
  8. Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

    Angalia picha kisha toa maoni yako.
  9. B

    Mliokuwa kwenye ndoa: Usifuatilie simu ya mke wako utaishi miaka mingi

    Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife. Usimpende kupita kiasi. Chukulia poa kila issues. Mwanamke yeyote duniani anatongozwa sana tu, kwa hiyo we potezea kumfuatilia wife, cha msingi usijue chochote. Kuwa busy kutafuta hela...
  10. Tundu Lissu hukujua kuwa wanasiasa ni wanafiki? Angalia wanafiki leo hii wapo meza moja na vibaraka wa mabeberu. Walikutumia vibaya kubwatuka

    Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki. Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno. Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania wanasikitika. Lissu hakujua Mbowe na wana CHADEMA ni wanafiki na wachumia matumbo. Wakamtumia Lissu...
  11. Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja? 2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
  12. Hivi wanachofanya Panya Road hakiwahusu Taasisi za Haki za Binadamu? Wapo kimya kama kila kitu kiko poa

    Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi. Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya. Juzi...
  13. SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    Utangulizi Utayari ni hali ya kuafiki au kukubali jambo fulani. Hivi sasa kumekuwa na mikanganyiko ya aina mbalimbali baina ya nchi na watu wake, huku ikionekana kuwapo kwa upinzani kutoka kwa wananchi juu ya masuala mbalimbali yahusuyo uendeshaji wa nchi kwa ujumla. Mpaka sasa ni dhahiri kuwa...
  14. Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

    Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
  15. M

    Baada ya mwana JamiiForums Maarufu Kutoswa na CCM huko EALA, nimeamini 99% ya Waandamizi wa CCM wapo JamiiForums 24/7

    Huenda Kauli hii ya kusema 'nikiteuliwa kuwa DC nitakataa kwani kwa Hadhi na Elimu yangu hakinifai'. Tuwe makini na Kauli zetu JF.
  16. Panya road bado wapo

    Tuzingatie ushauri na viongozi wa serikali za mitaa amkeni
  17. Mali yawaachia Wanajeshi watatu wa Ivory Coast, 46 bado wapo kizuizini

    Wanawake watatu kati ya Wanajeshi 49 raia wa Ivory Coast wameachiwa huru kutoka katika mamlaka za Mali huku wengine wakiendelea kushikiliwa. Wanawake hao wamerejea Ivory Coast ikwa ni wiki 7 tangu waliposhikiliwa. Kundi hilo la Wanajeshi lilishikiliwa tangu Julai 10, 2022 baada ya Mali kudai...
  18. Wangapi wapo singo leo?

    Si vizuri kuwa singo, kipindi hiki cha mwiso wa wiki (weekend), wakati unaweza kumshika shati Hamisi/Ashura, na mapumziko ya mwisho wa wiki yakawa safi kabisa. Yeyote aliye singo wkend hii, anyooshe mkono juu
  19. Influencers wa Tanzania kwenye Youtube wapo wapi?

    Wadau! Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa makampuni kadhaa - hii huwaingizia pesa. Youtubers wapi wengine ambao wapo tunawaona kweli...
  20. Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…