wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu, ujasiri wa kumnyang'anya godoro masikini unayemdai umeupata wapi?

    Salaam,Shalom!! (Mithali 19:17) Amhurumiaye maskini, humkopesha BWANA. Mungu anachukia sana Umaskini, lakini anawapenda sana maskini, Mungu ndiye hufukarisha, na ndiye hutajirisha!! Maskini wa Leo ni tajiri kesho, maana Mungu ndiye huwapandisha maskini na kuwaketisha pamoja na wakuu na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Stephen Masato Wassira wewe na watu wa umri wako msipostaafu unadhani vijana watapata wapi ajira?

    Mzee Wasira anashangazwa na taarifa za mainjinia kukosa ajira. Wakati huo yeye mwenyewe anawahi kujiajiri bali anaishi kwa kuajiriwa toka miaka ya 1970. Ukimuuliza kwanini amegonga kustaafu na kukaa pembeni anadai bado ana nguvu na anakubalika na watawala. Ukihoji kwa maisha yake yote ni kipi...
  5. JamiiForums Tanzania Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Migomigo na Lango la Jiji ni wapi hapo Dar es Salaam?

    Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni. Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
  7. JamiiForums Tanzania Ule umeme wa kabla ya JKNHP nao uko wapi?

    Haya ni mateso makubwa sasa tunayopitia Watanzania! Tunaishi utadhani tupo kuzimu? Ndugu Watanzania ninayo mengi sana kifuani kuwahusu wizara hii ya Nishati na uongozi wa awamu hii inayoshindwa kila kukicha, Nashindwa kuyaandika, Kila nikiandika nafuta , nimeona niulize swali kwa Wizara! Ule...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

    Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa. Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
  10. JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

    Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana. Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tunawalaumu Simba bure tu, Kosa lao liko wapi?

    Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao! Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo na matokeo yake ni dhahiri Simba tunaionea tu, aliyechafua ubao ni Al-ahly na wala sio Simba, hebu...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

    Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu. Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Yako Wapi Sasa? Nilisema Paul Makonda (Bashite) ni Dekio tu Safari Imeanza

    Paul Makonda ni sikio la kufa lisilo na dawa, maisha ni haya haya Makonda atabaki kuwa ni Dekio tu, Hana hulka ya utulivu, Hana hulka ya staha na utii, Hana adabu, Hana heshima, Hana heshima ya umri. Hulka za kisukuma ni za kishamba sana, sasa mziki ndio umeanza taratibu ili Makonda ajue yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inataka Mo asifunge viwanda vyake vya chai vilivyokufa, mantiki iko wapi?

    Kuna mambo yananishangaza sana kuhusu serikali ya Tanzania. Hili la serikali kumzua Mo asifunge viwanda vyake vya chai vilivyojifia limenishangaza sana. Bado sijapata mantiki kabisa. Kama lengo ni kuwalinda wakulima wa chai, kwanini serikali kwa miaka yoyote imeshindwa kujenga viwanda vya chai...
  16. JamiiForums Tanzania Wale mlionitukana niliposema kuwa Kapombe ana Nuksi kila akifanya Pre Match Meeting mpo wapi sasa?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King. Ifike muda sasa muwe mnanielewa na mkubali kuwa Nimebarikiwa vingi na Mola sawa? Ni Mchezaji mwenye Nuksi mno SSC. Na kudhihirisha hilo hata sasa Kocha amemtoa Nuksi wenu Kapombe. 99,% ya Pre Match Meeting alizofanya Simba SC imefungwa na chavhe sana imeshinda...
  17. JamiiForums Tanzania Wapi utaenda kufurahia sikukuu?

    Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr. Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach Je, nawe utaenda wapi?
  18. JamiiForums Tanzania Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mzee wetu Agrey Mwanri?

    Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
  20. JamiiForums Tanzania Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…