wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  3. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda yuko wapi?

    Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
  4. JamiiForums Tanzania Je hili vazi la Mh Kawawa lilitoka wapi?

    Je, wajua kwa nini Mh Rashid Kawawa alivaa nguo hizi?
  5. JamiiForums Tanzania Wapi napata spea parts za scania kwa bei rafiki ya jumla?

    Habari za siku wakuu, naomba kujulishwa machimbo ya spea parts za Scania kwa bei ya jumla hasa Temeke na kariakoo. Natanguliza shukrani.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze. Niwatakie usiku mwema
  7. X

    JamiiForums Tanzania Weekend ndio hiyo wapi kinahappen?

    Acha ujinga wewe Hizo pesa unataka kuspend weekend hii kwa kumtumia girlfriend wako ili uumtoe outing, mtumie mama yako. Siku zote kumbuka; "Asante mwanangu Mungu akubariki." —Mama Ni bora kuliko "Woow thx babe nimeiona love u." —Girlfriend Tofauti kati ya hizo mbili ni kwamba mama yako...
  8. JamiiForums Tanzania Jamaa kimya sana toka Aoe, yupo wapi?

    Ben!
  9. JamiiForums Tanzania Prince Harry aripotiwa kumuomba talaka Meghan Markle. Prince Harry atapeleka wapi sura yake?

    Wakuu, Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake? Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa Harry tayari ameomba talaka kutoka kwa Meghan. Harry na Meghan bado hawajathibitisha taarifa hizi...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

    Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
  11. JamiiForums Tanzania Hawa vijana wa Bongofleva walipotelea wapi?

    Hawa Vijana hata social network zao haziko Active kabisa kuonesha hawataki hata kujihusisha na mambo ya kisanaa na kijamii, Ninachojua ni kwamba walikuwa vijana wanajitahidi sana ila Gafla walizima kama taa wala hakuna sehem wanaongelewa au kujiongelea kwenyewe. 1.FUTURE JNL, Huyu kijana...
  12. JamiiForums Tanzania X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

    Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,. Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi. Mi ndoa nilishakataa. Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi? Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu. Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mke mtarajiwa upo wapi, bado nakusubiri

    Habari, Natafuta mwenza wa maisha. Ambaye tutapendana kwa dhati umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mm ni mfanya biashara mwenye umri wa miaka 37. Karibu pm tuyajenge
  15. JamiiForums Tanzania Azam pesa kunashida kwenye kutoa pesa kupitia mawakala

    Ndugu zangu habarini samahani hivi ni mimi peke yangu huku ninako ishi ni kwamba azam pesa mawakala wake wananigomea au na kwenu. Lakini nipende kuwapongeza Azam pesa tje way inavyofanya kazi kwa upande wa kutuma pesa hasa katika makato sio makubwa ila sasa shida inakuja kwenye kutoa pesa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi

    Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi...
  17. JamiiForums Tanzania Mabilioni yaliyomwagwa uwanja wa Mkapa yako wapi? mbona hayaonekani uwanja umezidi kuwa mbovu

    Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine. Kwa mabilioni yaliyomwagwa tulitegemea sio tu kuwa na on pitch electronic display board bali hata juu ilipaswa...
  18. JamiiForums Tanzania Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
  19. JamiiForums Tanzania Africa footbal league (AFL) imefikia wapi? Mbona mwaka huu haijachezwa

    Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC. Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii. Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini...
  20. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuomba Ban mko wapi? Siwaoni! Leteni ahadi hizo Mods wawape haki zenu mkichinjwa kwenye mechi ya watani

    Wakuu, Mechi hii nashangaa haina amsha amsha za watani kuomba Ban. Ni kwamba hamjiamini au, au kila mmoja anajua atanyukwa?:KEKLaugh: Au ndio mnaogopa yaliyomkuta aliyemba ban mara mwisho? Mimi nawakilisha shabiki maandazi wote JF tunaozomea yoyote anayefungwa na kutoa shangwe la kutosha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…