Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote?
Huyu jirani yangu kanishinda tabia walahi, angekuwa bidhaa ningemgawa bure kabisa maana hafai msikitini wala kanisani, hafai kwa mchuzi...
Kwa majina naitwa Emma (Sio jina langu halisi), nina miaka 30 sasa nina mke na mtoto mmoja - Maria (sio jina halisi pia). Nampenda sana binti yangu, yeye pamoja na mke wangu ndio sababu ya mimi kupambana kiasi hichi.
Wakishiba, wakivaa vizuri mimi ndo furaha yangu. Nafanya hivi kwasababu sitaki...
Habari
Kuna hii tabia ya wapangaji kutojishughilisha/ kutoshiriki shughuli za kijamii katika maeneo waliopanga shida nini?
Mtu anapanga lakini hashiriki iwe msiba, harusi, kutengeneza barabara, kuchimba mtaro wa maji anasema hayamuhusu anayehusika ni mwenye nyumba hii iko sawa kweli?
Haya...
Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, na kusababisha hasara kubwa ya mali za wapangaji waliokuwa wakiishi humo.
Hapa kama ni...
Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda.
Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda.
Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda
Leo Maxi Mello walimwambia...
Wapangaji 6 Wa nyumba moja walichanga changa na kununua bastola kujihami dhidi ya majambazi.
Makubaliano kuwa kwa kuwa bwana Ugoko yuko chumba cha karibu na mlango Wa kuingilia awe analala na bastola tayari kumkabili yeyote atakayejaribu kuwavamia
Siku bastola ilipowasili toka dukani na kutua...
Eeeh bana habari za saa hii mkuu, heshima yenu.
Nataka nikapange mitaa ya kwa aziziali, tafadhali naombeni A,B,C zenu kuhusiana na kipande icho.
Asante sana.
Moja ya majengo mazuri na marefu yanayopendezesha jiji la Dar es Salaam. Lilikamilika mwishoni mwa awamu ya JK. Nilipita mara mbili kwenye ofisi moja nilisikitika kuona jumba hilo la gharama lisivyokuwa na hadhi. Wamejaa wapangazi wa kupimiwa viofisi vidogo vidogo vya Clearing & Forwarding...
Kila kukicha vituko havikwishi!
Huku mtaani kwetu kuna mpangaji wa kike (single) ametangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake. Amewaambia wapangaji wenzake kuwa atahakikisha anaiba waume wa wapangaji wote.
Hii ni baada ya mpangaji huyo kutofanya usafi wa choo kwa mwezi mzima. Hivyo...
Habari zenu wakuu,
Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji.
Kwa mfano, ninafikiria...
Karibuni katika uzi huu ....kwa suala moja tuu la kushauriana namna gani juu ya kuishi katika mazingira ya wapangaji wenye tabia mbili au tatu zinazo kinzana kibinafsi kama umbea ..., majungu..., u gubu ...,maneno machaf ...., kuseng'enya maisha ya wengine...,
karibuni tushauriane...
KWA NYUMBA ZA KUPANGISHA/APARTMENT.
📍Hii ni aina mpya ya teknolojia inayotumika ktk ku-control VITASA vya milango vifanye Kazi ktk muda ambao Kodi ya nyumba imelipwa iwe miezi3,miezi6 au mwaka.
📍Tarehe ikifika ya Kodi kuisha basi VITASA vyote vitajifunga mpk pale mmiliki wa nyumba aruhusu...
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu.
Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana.
HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
👉Nakumbuka wazee wa kuzama viwanja kurudi geto satisa watu wote wamelala😅Kila mtu ana Goma kufungua kuhofia usalama
👉Ukichelewa kuamka asubuhi bafuni foleni
👉Mwenye zamu ya umeme kuwashindisha bila umeme siku nzima
👉Jumapili lazima uwahi kufua ili upate kamba ya kuanika nguo
👉Kuazima Pasi kwa...
Wakazi wa Masaki na Oysterbay ambao ni wapangaji kwenye nyumba za mabwanyeye wamejikuta wakishangilia na kuamshana kwenye makundi yao ya WatsApp baada ya ddola kuporomoka dhidi ya shilingi.
Nyumba za Oyesterbay na Masaki nyingi zilikuwa ni za umma/serikali watu wakauziwa bei ya soda, wao...
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji...
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii.
Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani.
Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini.
Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.