wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mabinti waambiwe ukweli serikali haitakuwa na muda wa kushughulikia ujinga na uzembe wao watakapozalishwa na wanaume wapenda uzinzi. Hasa mabinti mask

    MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba 1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wachina wa Global Aluminium Ltd cha Kibaha – Zogowale wananyanyasa wafanyakazi wao

    Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend. Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso. Kuna mchina mmoja yupo...
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  5. JamiiForums Tanzania Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  6. JamiiForums Tanzania CCM ikishirikiana na vyama vibaraka wameunda umoja wao

    Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA. Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  10. JamiiForums Tanzania Chama cha democrat kimegeuka kuwa chama cha vurugu kutokana na wao kutengeneza alliance na ideas za ukomonisti, trans fury (ushoga) na itikadi kali

    DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu. Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Tila tila ndio mpango mzima kwa wadada sasa hivi, kila mmoja wao anapenda kuwa nayo

    Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
  12. JamiiForums Tanzania Mh rais wao take care, trump ni mara ya pili anakoswa koswa.km aliyoyasema chande ni sahihi vijana walikuwa na silaha basi tambua hazijaisha.

    Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ulaya haitapinduliwa kwa silaha wala uvamizi bali ukaribisho wao wa kiholela

    Wao wanaazana wawili au mmoja ila waliowakaribisha wanazaana kama kuku.
  15. JamiiForums Tanzania Ushujaa wa hao wanawake uko wapi? Hivi Asha Rose migiro na Getruda Mongela ushujaa wao uko wapi na kwenye nini?

    Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania. 10. LITI KIDANKA. Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi zote ni propaganda za CCM tu na chawa wao. Behind the scene, Samia alisha - surrender kitambo kwa mwamba Tundu Lissu. Fuatilia mjadila👇🏻

    Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala, Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
  17. JamiiForums Tanzania Jamii iliyojaa 'Motivational Speakers' wanaokataa mawazo ya watu ili wao waonekane wajuvi

    Katika zama hizi za mitandao, kuna kundi la watu wengi wamejigeuza kuwa mabingwa wa kutoa motisha. Huko TikTok, Facebook, YouTube kila kona zimefurika na wasemaji wanaotaka kuwashawishi wengine kwa nguvu, lakini wamekosa adabu moja ya msingi: kusikiliza. Leo, mtu anaweza kukushambulia kwa muda...
  18. JamiiForums Tanzania Napata mashaka mno na CHADEMA, wamelegeza msimamo wao?

    Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao Kwadababu 1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa. Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno. Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂 2. Media tour ya Heche...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kusimamishwa Mapigano Magaidi wa Hezboulah na wafuasi wao wafanya Sherehe!!

    Magaidi wa Hezbollah na wafuasi wao wanasherehekea kote Lebanon kuanza kwa usitishaji vita wanazodai kuwa walishinda na kuanza kwa watu waliokimbia makazi yao kurejea katika maeneo yao - huko Dahieh, Beirut na kusini mwa Lebanon. Vizuizi vya zege kutoka kwa viingilio vya vitongoji vya kusini...
  20. JamiiForums Tanzania Waimbaji wa nyimbo za injili wengi wao ni aibu kwa Kristo (NENO) wanaliabisha kanisa

    1 WAKORINTO 6 1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…