wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA wadai kada wao amefichwa polisi Dar

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka suala hilo waulizwe Idara ya Uhamiaji. Magere ambaye ni mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji wa CHADEMA...
  2. GE2025 Kitu pekee ninachowakubali CCM ni hawa wajumbe wao

    Kiukweli wajumbe wa CCM wanafanya Kazi njema. Leo watu wenye bar watapiga Sana hela Arusha.
  3. B

    Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

    Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua" Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia...
  4. Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  5. GE2025 Ni aibu kubwa Kwa CHAUMMA, mkutano wao wa Zanzibar waudhuriwa watu wachache sana

    CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio Cha kusaga meno. Catherine Ruge Devotha Minja Moza Ally Suzan Kiwanga Tunawasubiri mshinde ubunge...
  6. Mama anapunguza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma mabenki wao wanaongeza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma hili lakuangaliwa

    Miaka mitano nyuma kipindi watumushi wa umma hawapati nyongeza za mishahara, hawapandi madaraja tasisi za kifedha hasa mabenk riba zao zilikuwa kubwa ila tofauti na sasa zamani benki nyingi walikuwa na asilia 13% 14% Baada ya mama kuanza angalia maslahi ya watumishi benki sasa asilimia zao...
  7. GE2025 Wale wanaojinasibu kuwa "OktobaTunatiki" kuna ujumbe wao hapa

    Wakuu tukiondoa masihara au unafiki huu ujumbe wa Baba Askofu Benson Bagonza umejaa ukweli mtupu. Ukiweka ushabiki wa itikadi za vyama. Hata wale wanaotamba bila aibu Watatiki October naona nao ni Wanafiki tu na wanatamba lakini ukweli mchungu hakuna kura ya Mtanzania inayothaminiwa na hili...
  8. Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

    Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
  9. Huu utiriri wa wachina na umachinga wao unaashiria nini kwa Tanzania na Afrika?

    Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
  10. Brics yaanza kulia lia kumlilia Trump. Nimeshangaa maneno ya Ramaphosa. Asema wao hawataki kushindana na yeyote

  11. Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

  12. Innocent waache watu wamwabudu Mungu wao

    Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
  13. Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  14. Simba wasiwasahau Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii wakati wa kufanya usajiri wao dirisha kubwa

    Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi. Wasithubutu kusahau mchango wa cepha Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii. Pia wawashukuru Kidao...
  15. A

    KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  16. Mama Yake Ana Mahusiano Na Kijana Wao Wa Bodaboda.

    "Habari yako kaka George, Mimi ni mfuatiliaji sana wa post zako. Naomba unipostie na mimi ili watu wasijue kuwa ni Mimi ila nitasoma comments. Mimi kuna jambo linanitatiza naomba ushauri wako na hata ukipost kweye page zako itakuwa vizuri pia na nitakuja kusoma ushauri kutoka kwa wadau...
  17. Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  18. S

    Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye moango wao wa nyuklia-Grossi

    "Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur. Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji...
  19. Yanga wqnachotaka ni kuhakikisha kwamba pale tff wanapandikiza watu wao !

    Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
  20. Zuchu anavyogombanisha madereva na matajiri wao.

    Matajiri wanadai wanapunguza cost, madereva wanalalamika hakuna comfortability
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…