wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yakuzingatia kwa vijana katika ndoa

    Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Kujitambua na Kujitayarisha Kabla ya kuingia kwenye ndoa, ni muhimu kwa kijana kujitambua, kujua malengo yake maishani, na kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Kofi moja tu akasema watoto sio wangu

    Ugomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio watoto wako,una jeuri ya kuzaa watoto wazuri hivyo,hujioni hilo komwe. Akaondoka kweli ila wazazi...
  4. JamiiForums Tanzania Simulizi: Naitwa mume zoba kwa kumpenda mke wangu. (kisa cha kweli cha kusisimua)

    SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU. SEHEMU: 1 MTUNZI: Madodi ✍🏼 Whatsapp: 0655 969 973 Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa kuwatoa watu wasiwasi hata kwenye hali ya huzuni. Nilikuwa na bahati ya aina yake kwa kumwoa Zuhura...
  5. JamiiForums Tanzania Waalimu: Usome usisome, Ufaulu usifaulu Mimi mshahara wangu upo palepale

    Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa. Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: majibu ya vipimo mgonjwa wangu wa sukari

    Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu ananitishia amani

    Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekuwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake. Hali hii imeanza kunipa wasiwasi na kuhofia siku Moja atanipiga kweli...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mjomba anawachukia watoto wangu?

    Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima, Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kuanza kuchepuka mke wangu ameongeza heshima kwangu

    Dah! Kidogo naona raha ya mapenzi sasa maana toka nianze kuishi nae mwaka wa 4 sasa ilikuwa Ni stress kila siku. Mwezi ulioisha ulitokea ugomvi ambao ulipelekea nianze kuchepuka kwani baada ya ugomvi mm nilijikausha tu nikaapa sitamgusa wala kumpiga Nikapata mtoto wa kitanga nikawa na uhakika...
  10. JamiiForums Tanzania Mke wangu ametoka kwa bwana

    Nipo mkoa wa huku kusini kwenye harakati zangu za utafutaji,nikaingia mtaa mmoja wa nyama choma; ile harufu ya nyama ikaufadhaisha mwili wangu, kuangalia mfukoni nina elfu tano tu, na kwenye simu sina salio lingine. Wazo likanijia nimpigie simu mama k; ile kupokea simu tukaanza kujuliana hali...
  11. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anatafuta kazi ya Maabara maeneo ya Dodoma

    Mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2021 kasomea mambo ya Maabara za Hospitali na anayo leseni hai kabisa kwa sasa anapatikana Dodoma. Anaomba kazi ya maabara za hospitali kwa mkoa wa Dodoma. Natanguliza shukrani nduguzanguni.
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

    Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

    Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha. Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
  14. G

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu baada ya kutumia 5G smartbox kutoka Airtel

    Wakuu habari za wakati huu? Moja kwa moja niende kwenye mada. Kwa dunia ya sasa internet imekuwa ni moja kati ya basic needs kama ilivyo chakula, mavazi na malazi. Lakini changamoto kubwa hasa kwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu huduma ya internet inaonekana kama ni anasa. Kwanza ni unreliable...
  15. JamiiForums Tanzania Uzoefu Wangu na Mafunzo Niliyojifunza Kutoka Israeli

    Nikiwa mwanafunzi wa shahada ya juu katika chuo flani cha kilimo hapa nchini, nilipata nafasi ya pekee ya kuhudhuria kozi fupi (short course) usawa wa siku 14 ivi nchini Israeli. Katika safari hii, niliona kwa macho yangu jinsi wenzetu wanavyoendesha mambo, na nilijifunza masomo muhimu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Ndoa ina miezi 10, mke wangu kabadili dini kaolewa na mwanaume mwingine

    Niliunganishwa na huyu mke wangu na shangazi yangu. Kipindi hicho nilikuwa nimetoka masomoni Uingereza, na kwa kuwa nilitoka huko nikiwa na kazi tayari, hivyo nilikuwa nishajipanga kimaisha na mambo yalikuwa mazuri. Sikupanga kuoa kwa kipindi hicho, lakini kama unavyojua familia zetu, ukiwa na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania 40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tatizo kuu la wapinzani wa CCM ni la "KISAIKOLOJIA" dili nao Kisaikolojia kama ifuatavyo

    👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa. 👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za asili. 👉Kwa mfano moja kati ya kanuni ya asili yenye uhalisia kwa Asilimia zote, ni kanuni inayo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Kuendesha Startup: SmartBusiness – Changamoto na Mafanikio

    Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha kufanya maamuzi yatokanayo na taarifa sahihi za mwenendo wa biashara zao. Niliona changamoto nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wajutia tuzo waliyompatia Rais Samia mwaka 2023

    "Leo (Jumatatu, Septemba 30.2024) Bawacha tumewaita (wanahabari) hapa (makao makuu ya zamani ya CHADEMA) kufanya tukio la kuonyesha hasira zetu dhidi ya Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), mwaka jana tarehe 3/8/2023 BAWACHA tulimualika kwenye kongamano la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…