wanazuoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PostGE2025 Wanazuoni wa kiislam Iringa: Haki itafutwe pakiwa na amani, Vijana pokeeni mkono wa maridhiano kutoka kwa Rais Samia

    Wanazuoni wa kiislam kutokea Iringa kupitia hotuba yao kwa vyombo vya habari wameeleza kuwa haki itafutwe pakiwa na amani njia ya amani na si kwa vurugu na uvunjifu wa amani. Na haya ni baadhi ya matamko/mapendekezo yao; Wanaiunga hotuba ya Rais Samia katika uzinduzi wa bunge la 13, wanaiona...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Umoja wa wanazuoni wa kiislamu watoa pole kwa Rais Samia kwa uharibifu wa mali uliojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu nchini wamekemea vikali vurugu zilizojitokeza wakati wa mchakato wa uchaguzi na kusisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kudumisha amani, kujenga hoja zenye uzito, na kuepuka vitendo vyovyote vinavyoweza kuvuruga utulivu wa taifa. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar...
  3. The outpost

    Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  4. U

    Namkubali na kumuheshimu sana Shehe Hashim Rusaganya, mbobezi elimu ya dini na elimu Dunia ,mfano wa kuigwa miongoni mwa Wanazuoni wakubwa duniani

    Niwe muwazi kuwa Mimi ni mkiriso lakini namkubali sana Mwanazuoni Shehe Rusaganya Mungu azidi kumbariki Kwa hekima alizompa
  5. Alloyce PR

    Kichaa kwenye kongamano la wanazuoni

    "Pasipo upepo, mashua haisogei,’ asema huku akiingia kwenye akaunti ya mtu mwingine kama jambazi wa mawazo, kisha anajitangaza kama mjumbe wa taifa. Huyu ni kama kunguru aliyevaa joho la bundi, anadhani mwenye hekima, kumbe ni kichaa anayejitambulisha kwenye kongamano la wanazuoni!" — Alloyce, P.R.
  6. hp4510

    Swali Kwa wanazuoni Kwa Dini ya Kislam na Waumini wa Dini Hiyo

    Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa? Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi...
  7. Wimbo

    Wanazuoni tuainishe abbreviation ya "Dr" katika kuanisha title ya mtumiaji

    Kumradhi waungwana naona kuna mkanganiko mwingi hapa Nchini Mtu kuitwa Dr. inaonekana ni deal sana hata kufikia watu kuzitafuta kwa nguvu na pesa. Napendekeza ziwekewe tofauti, Medical doctor iwe na abbreviation yake, maana hata watu wa assistant medical officer nao wanajiita ma doctor...
  8. PAZIA 3

    SoC04 Hizi hapo title za kufanyia utafiti/ research kwa ajili ya wanazuoni na wadau wengine, title ambazo hazijafanyiwa kazi mpaka Sasa kwa sector zote

    Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni wanaotafuta titles za kufanyia research ambazo bado hazijawahi kufanyiwa kazi kabisa, naomba tuwe...
  9. Nyamgluu

    Wanazuoni wa Tanzania, Janga la KiTaifa

    Neno la Kuhuzunisha la Wanazuoni wa Tanzania: Janga la Kitaifa (Imetafsiriwa kwa kutumia Akili Tarakilishi) Baada ya kupata uhuru wake, Tanzania iliweka njia kubwa kuelekea mageuzi ya elimu ya kina, yaliyotokana na dhana za kuvutia za Rais wake wa kwanza. Aliirithi taifa lenye uhaba wa...
  10. U

    Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  11. M

    Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

    Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine. Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine...
  12. Crocodiletooth

    Wasomi, mainjinia, wanazuoni wetu mliopo ndani ya Serikali yetu mmelishindwa suala la umeme?

    It's a shame! Umeme wa uhakika ndio unaleta maendeleo katika taifa lolote lile ulimwenguni, kabla ya kushughulikia na lolote lile taifa au mataifa huuimarisha umeme wake ndipo mengine hufuata, je wanazuoni wetu wameshindwa kutatua hili? Nashauri tupunguze kasi kwenye mengine na tuimarishe hili...
  13. Roving Journalist

    Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa. Waraka wa wazi kwa waheshimiwa wabunge Nakala kwa waheshimiwa viongozi wa dini Nakala kwa taasisi ya...
  14. N

    Wanazuoni naomba kuuliza tofauti ya fake news na propaganda : case study of Russia ukraine war

    Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani. Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda" huchukua mkondo wake kama njia ya kuongeza au kupunguza hamasa ya mapigano kwenye uwanja wa medani...
  15. Idugunde

    Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

    Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho. 👇 Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
  16. britanicca

    Ni upi mchango wa wanazuoni wetu katika siasa za Tanzania? Je, wanashauri, wanaponda, wanasifia?

    Salaam Ndugu zangu, Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu. Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha hasa linapokuja suala la mchango wao katika jamii kwa upande wa siasa. Wengi wetu wametekwa na mambo...
Back
Top Bottom