wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Naona umuhimu wa kumpeleka shule mtoto wa kike, wanawake wamekuwa na muamko mkubwa sana wa haki na misimamo imara. Binti zangu watapata elimu pia

    Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume kwenye jamii lakini imekuwa na matunda mazuri. Nimepita vijiweni, sokoni na mitandaoni kama nilivyosema...
  2. GE2025 Askofu Chinyon'gole awahimizi wanawake kujitokeza kupiga kura

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Shinyanga, Johnson Chinyong'ole, amewataka wanawake kutambua kuwa kura zao ni turufu ya ushindi kwa vyama vya siasa, hivyo wana nafasi ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano. Askofu Chinyong'ole ameyasema hayo...
  3. Wanawake hii kutaka Uhuru au ni Uchoyo tu ?

    Habari zenu wadau.! Niende kwenye maada moja kwa Moja. Kuna simulizi kaza wa kaza zimekua zikiletwa hapa Jamvini wanaume wakilalamikia wake zao kutokufurahishwa na uwepo wa Ndugu wa Mwanaume pale nyumbani. Mwanzo atakua kama amefurahi baadae visa na mikasa inaanzishwa na Visirani visivyokuwa...
  4. Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  5. M

    Chanzo kikubwa cha kuchepuka ni wanawake wenyewe, kuna baadhi yao wakishaolewa hawajali afya, usafi, nidhamu, n.k

    Kuna baadhi ya wanawake walivyo mkiwa uchumbani ni kama wanajitesa ili waolewe, maisha wanayoishi sio yao, maisha yao utayajua ukiwaoa Akishaolewa wala hajitunzi hasa linapokuja suala la unene, atajiachia afyatuke kama puto Mambo ya usafi ni shagala bagala mkiwa nyumbani kwa kisingizio...
  6. L

    Kwenye kufanya mapenzi, wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume

    Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume. Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno ambalo hukuwahi kulisikia utalisikia.
  7. Wanawake wa kimarekani wengi ni kisanga aaah, natamani kuachana nae ila nahofia divorce itanifilisi

    Wakuu haya mambo yasikie kwa wenzenu tu aisee hawa wanawake wa huku abroad ni kisanga jamani aaaah hii 50/50 mtihani jamni unaweza kukufilihisi hivi hivi na wanawake wa huku majuu wapo na wewe kwa ajili ya mali tu hasa wakijua ni mwafrika na kama mwafrika umeendelea na umetajirika kwahiyo...
  8. Tufunge na kuomba kufukuza pepo la mikopo linalowatesa kina mama, dada, wake, shangazi na wanawake wangine wengi

    Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila kufikiria mara mbili. Hali ni mbaya sana. Mitandaoni nimeona watu wengi wakilalamika kuona mama zao...
  9. Wanawake wengi wasiopata ujauzito wanakosea hapa

    WANAWAKE WENGI WASIOPATA UJAUZITO WANAKOSEA HAPA WANAWAKE WENGI WANAKOSEA HAPA Unajua siku zako za hatari au bado unakisia tu? 🤔 👉🏾 Ukweli ni huu: Bila kujua mzunguko wako vizuri unaweza kushangaa kwa nini mimba haishiki… au ukaingia kwenye mimba bila kutarajia. Hatua za Kujua Mzunguko Wako 🩸...
  10. Wanawake wanapata Raha sana wakifanywa hivi

    Sasa siyo tuvitako twenyewe tuwe kama skonzi. Yawe matako kweli kweli. Unaweza piga tumatako ukaumiza mkono au kenyewe kakaumia. Ndo maana sisi wengine tunapenda wenye mahips ya kufa mtu na makalio ya haja.
  11. K

    Wanawake wa sasa hivi ukimwambia nionyeshe kwenye video call ni fasta tu

    Yaani hii imenitokea mara kibao ukimwambia basi nionyeshe kidogo wengi hata hawajiulizi mara mbili utasikia umeona,yaani afadhari sisi wanaume ndiyo tumebaki na aibu
  12. Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya

    Kutoa Harufu Mbaya Ukeni: Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi wa candida albicans, japo sio kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la...
  13. Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

    Poleni kwa jf kufungiwa. Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume. Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu amechepuka mchana amekuja kwangu Mr kyagata amechezea na kunyonya mti siku nzima,then jioni anarudi...
  14. Hivi Karne hii wapo wanaume wa hivi?

    Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa, Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu..... 👇 anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine...
  15. Wanawake hufa mapema kuliko wanamume

    Dunia kwasasa imepoteza wasomi na wanasayansi wengi wenye vipaji na akili za ziada kama mimi. Kiufupi kila sehemu nikiona pameandikwa wanamume hufa mapema kuliko wanawake huwa nashusha thamani elimu ya sasa,. Sasa wacha niingie kwenye mada yenyewe. Japo ni vigumu kidogo kunielewa ila...
  16. Utitiri wa wanawake kuingia dojo kujifunza ngumi inaleta taswira gani wakuu

    Binafsi nashangaa Sana kuona lundo la wanawake likikimbilia dojo kujifunza ngumi sijui no for self defense au vp naona wale tuliokuwa tunawaita Maua sasa wanaanza kuwa magugu. Kuna sister mmoja wa makamo kuna siku nimewahi muuliza ww dojo unaenda kufanya nini yeye aliniambia amechoka kuonewa na...
  17. M

    Safari ya muwindaji inahitaji msaizi asie na tamaa, vijana mnaojitafuta kaeni mbali sana na aina hii ya wanawake

    Mwanamke anaedhani kakuonea huruma kuwa na wewe, anakwambia wazi kuna wanaume wenye pesa kukuzidi kila siku wanamtafuta, huyu tayari ana options siku yoyote anakukimbia. Mwanamke ambae hajui BAJETI, yeye ni kujua kutumia tu, jiandae kwa mizinga mingi ya uongo, mama anaumwa, simu imeharibika...
  18. H

    Wanawake hizo ni shida zenu, sio zetu sisi wanaume

    Wanawake wengi siku hizi wametuingiza kwenye changamoto kubwa sana wanaume wa siku hizi.Tumekuwa tukihangaishwa sana maneno yao ambayo yanatopelekea kujiona wanyonge mbele yako Bro ukikutana na mwanamke anakuambia haumridhishi kitandani,bro wala usiwe mnyonge we endelea na mitikasi yako,jukumu...
  19. Siku ukiona namna mwanamke anavyokua na anavyobehave akiwa na mwanaume aliempenda kwa dhati basi utaacha kuwafukuzia wanawake ili ukae kusubiri wako

    Nyie vijana mnaodhani wanawake wanawapendea pesa au utanashati mnakosea sana. Ile natural attraction bado ipo, wewe tembea uone. Mnashinda mijini na mitandaoni huko ambapo kuna wanawake wenye upungufu wa nguvu za kike. Siku ukiona mahaba tunayopewa sisi ambao hatukutumia minguvu kuwapata basi...
  20. Kwanini nyumba nyingi kwa wangoni wanawake ndio waendeshaji wakuu wa familia?

    Katika pitapita huku na kule nikaibukia ungonini, huko wanawake ndio wanastendia show katika familia wanaume huko hawana sauti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…