wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake hawajali kabisa kile ambacho waume zao wanapitia

    Baadhi ya wake hawajui hata kwamba waume zao wanafanya kazi zaidi ya moja ili kuhudumia familia. Dunia ni mahali pagumu kwa mwanaume. Rafiki yangu alipoteza kazi yake mwaka jana. Jamaa amejiongeza gari yake ameisajili Bolt hivyo anatoka nyumbani kila siku kwenda kazini. Mke wake hata hajui...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

    Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo. Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda. Hiyo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake; acheni kujilipia mahari

    Kuna tabia ime ibuka kwa kasi sana dada zetu, ndugu zetu kujilipia mahari, yupo radhi ata aka kope, auze vitu vyake aombe kwa wazazi wake kisha ampe mwanaume aje kulipa kwao.
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye kumbi za starehe wanawake huwa mnasindikizana vyooni? Mnafanyaga nini huko?

    Hii kitu inanishangaza sana. Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga. Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Wakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa). Tumekuwa tukitumia mashuka mengi kutandika kitandani kwa ajili ya kulinda godoro lakini naona kunakuwa na usumbufu mwingi wa kufua mashuka...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kulazimisha ndoa

    Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukata wa fedha unavyochangia Wanawake kuyaogopa Majimbo

    Nimewahi kugombea mara moja tu ila kila nikifiria kurudi tena jimboni narudinyuma, kwani sina uwezo kifedha. Simulizi ya Fatma Shaaban Mohamed (51), mkaazi wa Kiuyu Minungwini Wilaya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, inatuonesha ukata wa fedha unavyomkatisha tamaa kuingia tena jimboni katika...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake huko GOMA, washindwa kurejea makwao wakihofia kubakwa

    Baada ya mji wa Goma,mashariki mwa Jamhuri ya kidemokalasia ya Congo, wakimbizi waliokuwa katika maeneo ya jirani na Goma, walihamasishwa kurudi majumbani kwao, na kuhakikishiwa usalama wao. Waliotoa taarifa, wamesema mpaka sasa wana usalama wa kutosha,japo hawana imani kama hali hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Responded Singida: Wanawake wanachota maji kwenda nayo Zahanati wakati wa kujifungua katika Kijiji cha Dominiki

    Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma ya matibabu katika Zahanati ya Domoniki inayopatikana kwenye kata hiyo. Wakizungumza kwa nyakati...
  10. JamiiForums Tanzania Statement kama hizi zinawaaminisha wanawake Kila mwanaume anapenda mizigo..

    Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

    Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi. Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

    Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba. Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini. Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale. Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini. Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake wasomi hawatumii tena ubini (surnames) za waume zao pekee. Kuachana ni muda wowote

    Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana. Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa. Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu pamoja na uhandsome wa mkaka aliyejulikana kama Boniface MKWASA, mchezaji wa timu ya Young Africans...
  14. JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo wanawake wanayohisi ni kweli kuhusu wanaume na kumbe ni kinyume chake

    Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine. Mwanaume ameumbwa kwa namna ambayo inamtaka mwanamke awe na mwenendo wa aina fulani ili waweze kuelewana ama kwenda...
  16. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake na Uongozi 2025

    Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015. Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake hatari wa kuwakwepa 2025

    Wewe ni mwanaume umehangaika sana kutafuta mwanamke wa ndoto zako na haujampata au pengine umewahi kumpata lakini mkashindwana? Kama unapitia kwenye hatua hii basi tambua kuwa hakuna mwanamke mzuri na mkamilifu kwa asilimia zote ila unaweza kumpata ambaye unaweza kumjenga kulingana na mahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

    Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo. Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe? Mbona...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii tuwapo faragha?

    Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii. Tulivyo wanaume huwa hatuwazi vitu vidogo vidogo kama hivi. Sasa unakuta mwanaume ana zile bukta za...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tusilaumiwe kwa kutongoza watu wetu wa karibu ( wanawake )

    Hongereni na poleni kwa pilika wakuu. Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk. Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…