wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake wengi hawapendi waume zao

    NDIYO: Sio uongo wanawake wengi hawapendi waliowaoa Bali wanafurahia tu kitendo Cha kuolewa na kugawana Mali. Kwa mwendo huu matatizo hayawezi kuisha. Angalia tu mwenyewe we angalia tu: ✓ Pep Guradiola alimpoteza mke wake kwa sababu alilalamika kuwa alitumia muda mwingi na soka, soka lile lile...
  2. Mechi ya Simba na Yanga wanawake yajaza uwanja wa KMC siku ya jana, Je watanzania tunatafuta pesa muda gani?

    Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa. Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake. Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga...
  3. Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  4. Wanawake msilazimishe wanaume tuwaonee huruma sisi hatujaumbwa hivyo

    Ndugu zangu salaam. Wanawake wamekua wakiforce wanaume tuwaonee huruma ili hali hawajui sisi wanaume hatukuumbwa hivyo. Wanaume tuliumbwa kua wagumu, wenye nguvu, mamlaka , viongozi na watawala. Wanaume hatukuumbwa kua mayai mayai na laini kama mademu. Ndiyo maana mwanaume ukiwa laini unakua...
  5. Niliyoyashuhudia Derby ya wanawake Simba queen na Yanga Princess

    Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo. Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha Forward za yanga...
  6. JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  7. Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

    Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa! Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex. Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo...
  8. Ila wanawake, anakuuliza una feel vp, ukianza kuongea kumuelezea, anakupotezea kama hakujui halafu ukikaa kimya anakasirika kwa nini haumjibu

    😂😂 Its crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way ukike wake ulivyo na jinsi marafiki zake wa kike walivyo.
  9. PreGE2025 TAMWA yataka wanawake watakaojitokeza kutia nia kwenye Uchaguzi waungwe mkono

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono na jamii ili waweze kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi. Ushauri huo ameutoa Jijini Dodoma katika...
  10. Darasa Maalum Kwa Wanawake Wote Wenye Kusumbuliwa Na Chunusi Sugu

    Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu.... Si Hivyo Tu Pia Umefanya Mabaka Na Madoa Kiasi Cha Uso Kukosa Nuru ... Vile Vile Uso Una Mafuta Mengi Na Umefanya Vitundu...
  11. Kitu gani kinasababisha wanaume kuwafanyia wanawake matukio ya kikatili?

    Habarini wadau, Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili. Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio. Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii...
  12. Wanawake msipoacha kutambiana hamtafika mbali. Inuaneni

    Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati zao wala vikundi. INASHANGAZA. Sababu kuu ni wao wenyewe kuoneana wivu na kutambiana kipuuzi. Hii...
  13. Siku hizi wanawake wengi (Age: 30+) wameokoka

    Je, wajua? Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia, Msahafu, nyimbo za dini, Kwaya mbalimbali, n.k Ingawa kuna tetesi zinasema kwamba "ni stress za maisha na...
  14. Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

    Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
  15. Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

    Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale mademu choka mbaya wa Kibongo! Yaani, wadada hawa si wa kawaida kabisa. Wakitembea, ni kama ardhi...
  16. Ila sisi wanawake tunamoyo sana imagine

    Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.? Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai...
  17. SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana?
  18. Hivi wanawake mnamiliki siku ngapi maana karibu kila siku ni yenu

    Mna zile za kusafiri angani kila mwezi. Kuna siku ya wanawake duniani. Siku ya maombi ya kina mama. Kuna mothers day. Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
  19. PreGE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  20. Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…