Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni.
Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu...