Baada ya mwanamke Mnaijeria kujitokeza na kulalamika alichokumbana nacho wakati alikwenda kutalii, wanawake wa Tanzania wajitokeza na kusema yale ambayo hukumbana nayo kila wakijaribu kutalii nchi yao, au utalii wa ndani. Dharau, kejeli na matusi, wengine hata hunusurika kubakwa, hutukanwa kisa...