Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe...
Takriban Watu Milioni 315 sawa na 4% ya Watu Duniani kote, wanakabiliwa na Tatizo la Wasiwasi Uliopitiliza.
Mwaka 2020 pekee, 90% ya Nchi zote Duniani zilipatwa na ongezeko la 25% ya Wasiwasi Ulipitiliza, kutokana na kuibuka kwa Ugonjwa wa #UVIKO19.
Kwa mujibu wa Takwimu za Jukwaa la Uchumi...
"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"
Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo
Haya Wanaume...
Kwa mfano mwanaume wewe unajijua kuwa ni mlevi, wewe ukikutana na mwanamke day one just show her your reality kuwa ni mlevi haswa kama ni wa kukupenda atakupenda ulivyo tu, acha kuzuga. Ukimdanganya na siku akigundua wewe ni mlevi asee atakumaind sio poa.
Huu ni uchunguzi binafsi nilioufanya...
Wanawake wanahitaji teknolojia kwa sababu sawa na wanaume: kukuza ujuzi wao wa soko, kuboresha fursa zao za kiuchumi, kushiriki katika kufanya maamuzi sahihi, kujitangaza kama watu binafsi au Kwa nia ya kujifurahisha tu. Wanawake wanahitaji teknolojia kushiriki katika ulimwengu wa kisasa kwa...
Wanawake wa Tanzania wamepewa kanga zakutosha na vitenge kuelekea siku ya wanawake Duniani.
Wanawake wengi wamejipanga Kuvaa vitenge kusherekea siku ya wanawake Duniani.
Wanawake wengi watabeba mabango yaliyobeba ujumbe wa kisiasa kuhusu mwanamke mwanasiasa.
Wanawake wengi watalipwa kushiriki...
NGO nyingi zinalipa mishahara mizuri kwa sababu nimewahi kufanya kazi kama consultant mahali kadhaa.
Utaona kuna wafanyakazi wakike wanaofikia hata 40 lakini mwenye ndoa unakuta ni mmoja au wawili.
Wengine wote aidha wanalea wenyewe au wapo single hata kama umri umesogea.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo mkoani Pwani, Mohamed Usinga ameagiza Vikundi vya Wanawake wanaliopatiwa mafunzo ya ubunifu na ujasiriamali na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC, ambayo bado havijapatiwa mikopo katika Halimashauri hiyo vipewe kipaumbele kwanza ili waweze kujikwamua...
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, unadhani kwanini Ukatili dhidi ya Wanawake Mitandaoni unazidi kukithiri?
Ni hatua gani Jamii inachukua kupambana na Ukatili huu?
Waathirika wanapata msaada gani ili kuendelea kutumia Mitandao hiyo hata baada ya kupitia ukatili?
Una maoni gani katika jambo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amefanya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutembelea Kituo cha Afya Mugango na kutoa Misaada mbalimbali kwa akina mama wenye uhitaji.
Akiwa ameambatana na kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Musoma...
Habari wadau,
Kwa muda mrefu umekuwepo msemo huu kwamba wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani ambayo inaonekana ni tofauti na ilivyo kwa wanaume.
Hadi kufikia hatua kusemwa unaweza ukakuta sehemu za kazi wanawake wanaofanya pamoja wanaongea vizuri wenyewe kwa wenyewe lakini sivyo kiwango...
Salaaam kwenu Wanajukwaa,
Hivi kijana unayetafuta mafanikio (utajiri) ambaye bado hujafikia mda wa kuoa au kuwa na mwenza na una kiu kubwa ya kusaka mafanikio. Unakuaje na Mademu?? Upo serious kweli na maisha??
Yaani kama unashindwa kujizuia na Genye ni afadhali ukawa na Mwanamke mmoja ambaye...
MHE. JANEJELLY NTATE AIBUKIA JUKWAA LA UCHUMI LA WANAWAKE
Mbunge wa Wafanyakazi Taifa anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Janejelly James Ntate aibukia Jukwaa la Uchumi la Wanawake Mwanamtoti, Kata ya kijichi Dar es Salaam kuwaelezea umuhimu wa kumpongeza Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa...
Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli!
Namimi nikaamua kuchange gear angani kimya kimya,nikakata mazoea kabisa toka mwezi wa 12 nikaacha kabisa kuwapa attention...
Mitandao ya kijamii ipo kwa ajili ya kuwaleta watu Pamoja kwa namna moja ama nyingine, kubadilishana mawazo na kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa jamii na kwa haraka Zaidi, lakini mitandao ya kijamii imegeuka kuwa sehemu ya kushambulia utu na mwanamke kwa ujumla na kufanya wanawake kupata...
Hello mamboz JF,
Nauliza swali tu katika pitapita zangu na kuishi mikoa ya pwani wanawake wengi mikoa ya pwani hawana minyama uzembe.
Hivi wao wanaishije na wana lishe ya aina gani, wana miili mizuri sana na hata kuzeeka hawazeeki haraka.
Siri yake ni nini?
Wadiz
Wanawake mliopo ndoani mnajisahau wapi jamani. Kuolewa sio kujisahau, unakuta wenyewe mnatengeneza mazingira ya mtu kukuacha hapo akachepuke kisa mambo ya kipuuzi. Wanawake mliopo kwenye ndoa hebu acheni hizi tabia za ajabu ziguatazo hapa chini:-
1. Usafi, inabidi niite kujisahau cz...
Hello mambo aje JF!
Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.
Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.