wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    No reforms, no election. Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani? Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini? Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti? Wanaume wenye hii...
  2. JamiiForums Tanzania Sisi wanaume ni waaminifu sana

    Mwanaume ni kiumbe muaminifu mnoo, na Wanawake wanatujua na kutuamini kwa uaminifu na uadilifu wetu.😇 Imagine, Mtu unaachiwa kuanzia kiuno kushuka chini, halafu mwenye navyo kalalia zake mto na kakuamini kabisaa kukuachia huko nyuma ujisevie mwenyewe, yaan tumeachiwa mashimo yote mawili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yawezekana ndoa ni muhimu ndoa maana tumeumbwa wanawake na wanaume? Je kuna madhara yoyote kuishi bila ndoa?

    Kwenye dini ya kiislamu ndoa ni suna siyo lazima ila ni ile sunna ambayo imekokotezwa kwa maana ni suna ambayo inakaribia kwenye faradhi hivyo hivyo kwenye dini nyingine yawezekana akawa ni muhimu pia je nauliza hiyo ndiyo sababu ya kuumbwa jinsia mbili kati ya kiume na ya kike? Na je kama ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanatulia kimapenzi wakifika 30+, lakini wanaume wengi wakifika 30+ ndio kwanza kunakucha (wanakuwa active?)

    Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa mara. Lakini wakifika 30+ wengi huonekana “kutulia” wanapenda mtu mmoja, maisha ya utulivu na mara...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Kwa utaratibu huu uliopo kwenye harusi ya kabila hili la Kinigeria, wanaume wenzangu tungetoboa kweli?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya harusi ya watu wa kabila moja huko Nigeria, nimewaza sana kwa vyuma vilivyokaza sidhani kama wanaume wa Kitanzania hasa wa Daslam wangeweza. Huu utaratibu uko huko kwenye kabila moja la Nigeria linaitwa Ijaw ambapo mwanamke akiwa Bi Harusi kwenye harusi yake...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume ishini na wake zenu kwa akili hawajawahi kuishi kirohoo. Jipe moyo

    1petr 2.3 Wanaume muishi na wake zenu kwa akili na muwapeeee heshima Ukisoma utaonaa kinachowapa heshima wanawake n akiliiii kama utapata mwanamke asie na akili ndugu umeumiaaa jamboo muhimu unapoelekea kwenye ndoawambiee MUNGU AKUPE Mwsnamke MWENYE AKILI WANAUME MWANAMKE AJAWAHI KUISHI...
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

    Habarini za wakati huu wana JF. Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu. Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KINYUME NA IMANI YA WENGI: WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE

    Kinyume na WENGI wanavyo dai, idadi ya wanaume ni kubwa kuliko WANAWAKE. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka hii 2025. https://m.statisticstimes.com/demographics/world-sex-ratio.php
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Uganda wanawapenda sana Wanawake wa Tanzania na kwanini Wanawake wa Uganda wanawapenda mno Wanaume wa Tanzania?

    Ninajua hapa kuna Wajuvi na Watafiti wa Masuala mbalimbali ya Kimtambuka hivyo leo Kazi yangu ni Kuujua tu Ukweli.
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, tujihadhari na ahadi za rejareja au kuahidi unamuoa mtu

    Wanawake wa siku hizi, Hawataki mchezo kabisa. Na atakuuliza kabla ya kukutana nae kimwili siku hiyo kama utamuoa. Ogopa sana kutokana na hamuhamu zetu wengi hapo ili tu kuridhisha mwili huwa tunatamka kukubali. Na shida huanzia hapo katika ulimwengu wa roho inakuwa kama kiapo cha neno...
  11. JamiiForums Tanzania Sindano hii Chungu ila ina dawa inayotibu iwafikieni popote pale Wanawake na Wanaume

  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wanauliza, sijui wanaume mnataka nini

    Habari za jioni wana MMU Moja kwa moja kwenye mada. Nilisema eneo langu kuu litakuwa ni ndoa na mahusiano Sasa kuna huu usemi wa wanawake kuwa eti hawajui wanaume wanataka nini. Swali hili huja pale ambapo mwanaume katamani kiumbe ambacho mwanamke anaona kina walakini kwa kiasi fulani. Pengine...
  13. JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume tu: Ungefanyaje kwenye hali kama hii?

    Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku ukiamini wewe ni baba halali, umekuwa ukitoa msaada kimya kimya. Lakini, kwa kutaka kuthibitisha ukweli...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

    Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume. Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
  15. JamiiForums Tanzania Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

    Aibu sana kwa mtu mwanaume tena mwengine anaweza kuwa baba wa familia anafanya challenge za kipuuzi tik tok utadhani demu .
  16. JamiiForums Tanzania Sababu ya wanawake wengi wa kikristo kuanguka/kulipuka mapepo wanapo ombewa ,kuliko ilivyo kwa wanaume

    Ni sababu ya mapambo mengi ambayo mwilini mwao kuanzia kwenye nywele kichwani mpaka kwenye kucha za miguu. MAPAMBO YOTE HAYO YANAFUNGUA MLANGO WA KUMILIKIWA NA MAPEPO/MAJINI/KUZIMU. Kwa sababu Mungu hapendezewi nayo na hayatokani na Mungu bali yanatokana na kuzimu/roho ya uasi./mapepo/majini...
  17. JamiiForums Tanzania Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

    TUKIACHANA NA Tabia ya mwanamke mmoja mmoja ni wanawake wa kabila gani ni wachapakazi, wanajua mchezo mtamu vizuri, wanajua ku care, alafu watulivu wakikupenda kweli? Jibu direct usilete ungese🚫😎✌️😎
  18. JamiiForums Tanzania Kwani baadhi ya wanawake ni nini mnataka kwenye mahusiano? Punguzeni kuwaumiza wanaowekeza kwenu

    Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya duniani, mwisho wa siku unafumwa na usaliti mtu anabaki kujiuliza kwani huyu alipungukiwa nini mbona...
  19. JamiiForums Tanzania Mnatakaga kujua nini wanaume?

    Ukianza mahusiano na mtu utasikia mimi mwanaume wako wa ngapi? Ukijua ina kusaidia nini?
  20. JamiiForums Tanzania Tuwatokomeze ma'simp hawatuwakilishi wanaume hata kidogo

    Katika jamii tunazo ishi kuna aina au kundi la wanaume ambao ni dhaifu ambao ni aina ya mwanaume jamii ya wanawake humtengeneza kama retirement plan au mpango maalumu kufanikisha mipango yao ya kimaisha bila kuwajibika lolote kwa huyo mwanaume au huyo mwanaume kupata maslahi yoyote katika huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…