HESLB ni wadhamini wa kipindi cha Powerbreakfast cha Clouds FM, swali ninalojiuliza hapa ni kwamba inakuwaje taasisi ya serikali ambayo ni non-profit institution inajigeuza kuwa profit-based institution?
Sielewi lengo lao la kujitangaza ni nini. Hawana ushindani wowote, hawana mtu...