wanatamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luca Paguro

    Tanzania ambayo Gen Z wengi wanatamani kuiona

    Ukiachana na mambo ya katiba, uhuru wa kuongea, hiii ndio Tanzania ambayo vijana wengi wanatamani kuiona kipindi hiki cha uhai wao 1. Tanzania yenye viwanda tele ikiwemo viwanda vikubwa vya magari, laptop, simu na pikipiki. Viwanda viajiri watanzania wengi na bidhaa tuuze nchi jirani. Malighafi...
  2. Pdidy

    Asilimia 70 ya watanzania wanatamani kufika Mbinguni

    Asilimia 70 ya watanzania wanatamani kufika Mbinguni. Niongeze sautiii
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kipi Polepole atazungumza? Na kipi ambacho wasikilizaji wanatamani kukisikia?

    Mimi Sijambo! Polepole alisha-miss target 🎯 tangu siku ya kwanza. Sijajua nini atafanya kurudisha mchezo katika umiliki wake. Kwa kweli bado natathmini nini atafanya kuitikisa serikali ya Samia Suluhu ambayo kwa sasa ninaweza kusema ni adui namba moja wa Polepole katika Vita aliyoianzisha...
  4. Allen Kilewella

    Kwa nini Sasa watu wengi wanatamani kuwa kama Lissu?

    Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanastaajabu uwezo wa Lissu kwenye ujasiri na mambo ya Sheria. Unapoona mtu maarufu kama Hassan Mwakinyo anasema maneno kuashiria kudurufu matendo ya Lissu mahakamani, ni ishara tosha kuwa Lissu anahusudiwa na watu wengi? Lakini...
  5. Kimbesa11

    Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  6. Allen Kilewella

    Kwanini CCM wanatamani CHADEMA ife?

    Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi. Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo ambalo limeshazoeleka na kuwa sehemu ya siasa zetu Tanzania. Nakumbuka wakati fulani Mzee Steven...
  7. J

    Watanzania hawaeleweki, wanadai hawamtaki Rais, akiondoka wanatamani arudi

    Watanzania sasa hivi wamechachamaa hawamtaki Samia, kelele kibao mtandaoni Lakini ukitazama kwa umakini, Watanzania hii imekuwa ndio tabia yao, wanasema hawamtaki kiongozi ila akindoka wanatamani arudi Tuliona Kikwete walikuwa wanapiga sana kelele hawamtaki, ila alipoondoka na kuja Magufuli...
  8. Mshana Jr

    Ni wengi wanatamani kurudi CHADEMA.. lakini....!!!!

    Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa Ndio maana cream...
  9. Brain Kingdom

    Masingle Mothers wakimjua Mubabazi Ambae yuko vizuri na hajaoa au haishi na familia wanatamani kunasa kwenye Jimbo

    Sina mengi ya kusema ila sisi wakataa ndoa na kuoa wanaume ambao Age yetu ni level ya Mubabazi basi huku mtaani patashika ukiwa mtu wa gusa achia tumepachikwa Cheo Cha Ubahili. Wewe huyo bahili ndiomana anatabia ya kumalizana yaani Gusa Achia, hataki kugandana huyo yeye anakupa chako usepe...
  10. N'yadikwa

    Hata wale walikuwa pro west sasa wanatamani kuitembelea Uchina

    Vita ya kibiashara SINO-US Trade war imeonesha kumbe Uchina yuko mbele sana. Nani kushinda hii vita. Time will tell. Binafsi natamani sana nifike Beijing nasikia ni bonge moja la jiji.
  11. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Wabaya wetu wanatamani CHADEMA itoke Mlimani city ikiwa imesambaratika

    Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje tumenuia mamoja kwamba tutatoka hapa tukiwa imara pamoja(Stonger together)” Siku ambayo dunia...
  12. mdukuzi

    Si ajabu kuna Watanzania wenzetu wanatamani wangedondokewa na kifusi Kariakoo

    Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia utadhani wako mpirani wakati jamaa alikuwa katikati ya kifo na mauti,...Wanatamani lile zari lingewatokea...
  13. Mwande na Mndewa

    PreGE2025 Awamu ya sita watu wanatamani kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu ya tano. Je ni kweli!?

    Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu walipita bila kupingwa. Kwa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 vijana wengi walichukua form na...
  14. comte

    Hiki ndicho kinawafanya CHADEMA waanze kuchafua nchi kabla ya uchaguzi

  15. kavulata

    Mashabiki Simba wanatamani supu pia, wanashindwa kusema

    Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa...
  16. Melki Wamatukio

    Siku hizi wanawake wanatamani ndoa, ila hawaipendi

    Kuna binti hapa mtaani, ni mstaarabu sana. Nimeforce kadri niwezavyo mpaka nimepata mbususu yake iliyododa. Kabla ya kupata penzi lake tulikuwa ni marafiki tulioshibana sana, alikuwa akinishirikisha masuala yake binafsi kisha naangalia namna ya kutatua. Pia nilizungumza naye kuhusu mambo...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  18. L

    Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa. Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Kuna vijana wanatamani kuacha uzinzi lakini hawawezi, tumieni njia hii

    Ni ukweli ulio wazi kuwa zinaa inaleta mikosi, inarudisha vijana nyuma kimaendeleo. Na kubwa zaidi ni kwamba zinaa ni dhambi ambayo imepelekea vijana wengi kufa wakiwa wabichi. Uzinzi ukikomaa kwa kijana maisha yake huenda yasiwe marefu (sizungumzii vifo vya magonjwa ya zinaa hapa). Kuna...
  20. sky soldier

    Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
Back
Top Bottom