wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina iangalia SA, kwa jicho la huruma sana, wakizifuata saundi za wanasiasa uchwara, watakiona!

    Wazungu weupe ni asilimia saba tu 7% only!, pato la kiuchumi kwa nchi hiyo kwa taarifa mapato ya zaidi ya 80% nchini humo, na juhudi za weupe hao ambao ni only 7%, that mean 93% za weusi ndizo ujazia pengo la 20%,wanatokea wanasiasa uchwara jamii ya kina Heche, wanawa propergate, wazungu...
  2. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za nchi yetu pamoja na wanasiasa wetu wenye tamaa

    Habari jamii Africa. Mmmmh. Poleni wananchi wa Tanzania, Poleni raia wa Tanzania. Lakini poleni zaidi wapenda Mabadiliko wa Tanzania. Mimi ni mmoja wa wapenda Mabadiliko,ambaye sipo upande wowote wa chama,japo kazi zangu naweza jikuta natekeleza ilani ya CCM ila nachojua Mimi nawajibika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliebuni mkakati wa kununua wanasiasa na wanachama wachache kuihujumu CHADEMA, atakuwa na faili Mrembe na atakuwa bado anaendelea na matibabu

    Mtu mwenye akili timamu, hawezi fanya hiki kinachoendelea kwa lengo eti la kuihujumu CHADEMA akiamini CHADEMA itakufa unless ni matokeo ya kuishiwa mbinu na kukata tamaa. Yaani uhonge wanasiasa na wanachama wa CHADEMA kwa makumi mikoani halafu uamini hiyo operation itafanikiwa kuidhoofisha...
  5. JamiiForums Tanzania Usipojijali na kujilinda mwenyewe hakuna wakufanya hivyo kwenye vyama vya Siasa. Wanasiasa hujali maslahi yao na sio yako

    Hamjambo Wore! Nimeona huko mitandaoni watu wakiwalalamikia G55 kukimbia CHADEMA kutokana na maslahi yao ya kisiasa na ulaji kuguswa. Watu huwalaumu wakisema, inamaana wamesahau Damu na roho za wanachadema wenzao waliouawa, kutekwa na kufanywa vilema? Wamesahau? Inamaana hawakumbuki...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Damas Ndumbaro awataka wanasiasa wote kuheshimu na kulinda katiba ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
  7. JamiiForums Tanzania Huu ni msimu wa kujua uhalisia wa kuelekea uchaguzi watu

    Msimu wa inzi kufuata uvundo umeingia. Utaona na kusikia mengi. Kila mchumia tumbo atahama chama. Kila changudoa wa kisiasa atapata bwana mpya. Yote ni sababu ya njaa, ujinga, unafiki, uzwazwa na utapiamlo kiakili. Namna hii, kweli Rais mbeba maono, mwanasayansi, mchumi maarufu na muweza wa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutungi: Mataifa mengi yamekuwa na Chaguzi na kuishia na vurugu lakini Tanzania ni Kinara wa Amani

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewataka Viongozi wa vyama vya kisiasa kutumia mafunzo ambayo Ofisi yake imewafunda kwa ajili ya kujenga mtazamo mpya na chanya, ambapo muktadha wake ukiwa kudumisha amani iliyopo hapa nchini. Akizungumza Leo Mei 5 na Viongozi wa vyama vya siasa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Maaskofu katoliki kataeni rushwa ya wanasiasa

    Maaskofu wa Kenya walikataa na kumrudishia rais Ruto pesa aliyoitoa kusaidia kanisa kwa kuogopa kuweka uhuru wao rehani. Leo tumesikia Samia akimpa askofu wa Bagamoyo zawadi ya milioni 20. Hii sio rushwa ya kumfunga mdomo na kupora uhuru wake? Igeni wenzenu wa Kenya
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  11. JamiiForums Tanzania Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

    https://youtu.be/KcSIOQxAh64?si=7rOHRwCBPK3Bcu2R My Take Rais asiwasikilize wapambe kina Wasira, akubali reforms
  12. JamiiForums Tanzania Don’t mess with the church – wanasiasa kubafu mnaharibu game

    Hivi who tf aliwaambia kuwa viongozi wa dini hawaruhusiwi kujihusisha na siasa? Mbona mnatunga sheria kichwani kwenu alafu mnaanza ku-suppress watu wa Mungu as if wao sio citizens? This is some real bulls**t! Mna-act kama mafirauni waliochoka – mnaogopa sauti za watu wanaosema ukweli kwa sababu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuwa Mwanasiasa ni kubwa tena yenye high risk kuliko wengi wanavyofikiri na hii ni duniani kote!

    Kama huijui dunia unaweza kudhani Wanasiasa wanafaidi sana wao na familia zao Hakuna kazi yenye risk kubwa kama ya Siasa ikifuatiwa na Mitume na Manabii wa zama hizi za mwisho wa dunia na namba 3 ni Waganga wa kienyeji hawa akina Mshana jr Wanasiasa ni watu wa kuwaombea sana tena mno Mlale...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti TUCTA akemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa Umma

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya wa kuwasilisha changamoto zinazowakabili. Kailembo amesema hayo katika madhimisho ya Siku ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanalitaja jina la Mhe. Samia kwa wastani wa mitajo 1,978,365 kila siku ukilinganisha majina mengine

    Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku! Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
  16. J

    JamiiForums Tanzania 1970 Wanasiasa wenye umri wa miaka 20 waliteuliwa Ubalozi, Uwaziri nk lakini Leo Lucas mwenye miaka 43 ni Chawa Mtukuka!

    Labda kama teuzi zile za Nyerere kwa Vijana akina Wassira, Salim, Ulimwengu, mzee Mgaya nk Enzi zile zilitufelisha kimaendeleo lakini binafsi naamini Kijana kuwa Chawa ni dhambi nyekundu Mtazame Mzee wetu Wassira Ameanza kula Teuzi tangu akiwa na miaka 20 hadi Leo hii anaiendea 90 Lucas na...
  17. JamiiForums Tanzania Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliohama CHADEMA ni wengi sana; kwanini ni Zitto tu anayefuatwa kishari zaidi na wana CHADEMA

    Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema? Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema? Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine. 2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kitakuwa chanzo kikuu cha Wanasiasa kutupwa motoni

    Tukimudu kuwa tunawapa dozi baadhi ya viongozi wanafikitutaisaidia nchi na kuwafanya wanafiki kuelewa ya kuwa Mafukaranawatumishi wa ummanao ni watanzaniahawapendi kuchukuliwa hatuapekee yao huku mijizi mingineikilindwa. Kuisaidia nchi ni kukaa chini na kuifikiria Mifumo ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, Karibuni ACT Wazalendo

    "Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa. Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…