wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira. Kunambi, ambaye pia amewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amesema “nchi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wanasiasa mwaka ujao utaongozwa na namba Tisa

    Vyama vya siasa, pamoja na kwamba watu ndio huchagua lakini nyota ya mtu kwa mwaka husika wa uchaguzi inahusika sana kumfanya mtu huyo kuchaguliwa na hao watu bila kujali itikadi zao. uchaguzi wa mwaka huu wa serikali za mitaa na wa mwaka ujao utabalance kulingana na mkuu wa nchi tuliyenae na...
  3. JamiiForums Tanzania Wako Wapi Wanasiasa hawa?

    Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao: 1. Harrison Mwakyembe 2. Mark Mwandosya 3. Job Ndugai. Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa pini wasijihusishe na siasa?? Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Kujiweka karibu na wanasiasa kumeiharibu sana Yanga

    Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi migogoro inavyotokeaga. Kwa haraka nakumbuka migogoro ya kina Mrema ndani ya NCCR, Zito Kabwe ndani ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

    Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji? Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?

    Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
  8. JamiiForums Tanzania Hongera wanasiasa

    HONGERA WANASIASA 1. Waendapo majimboni, kuziomba hizo kura, Utadhani wanadini, wenye za upole sura, Magoti wapiga chini, mithili wataka pera, Hongera wanasiasa, kudanganya wananchi. 2. Hupita nyumba kwa nyumba, sera nyingi kimwageni, Hudai kura waomba, wawakilishe bungeni, Nguo zao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  10. JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: Wanasiasa wengi wa Upinzani wamekuwa masikini sababu ya kutoa

    Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
  11. JamiiForums Tanzania Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  12. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo Viongozi na Wanasiasa wanatufanyia

    They do nothing 😁!
  13. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Wanasiasa na Vito vya thamani kwenye maandamano by Lucas Mwashambwa

    Batanzania. Ni baeleze. Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post. Ameandika: Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
  16. JamiiForums Tanzania Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?

    Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?
  17. JamiiForums Tanzania Ukimzikiliza huu mama unaona uajabu wa wanasiasa wa Tanzania ambao wanadhani lazima washinde na wasiposhinda wanatukana

    https://twitter.com/MSNBC/status/1761567158432125272?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1761567158432125272%7Ctwgr%5E846d6e646e81a2ca35613cddb03e9e5a11890929%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fnews.yahoo.com%2Fmajority-south-carolina-republicans-oppose-220610110.html
  18. JamiiForums Tanzania Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira au Sekeseke la Ajira - Wanasiasa bhana!

    Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala. Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa kina ajira wanapewa hata wale ambao hawakushiriki kabisa kwenye usaili - sababu ni eti ni mtoto wa...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita Ameonewa sana na kaonea na kila mtu Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…