wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Video: Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki Akataliwa kwa kuzomewa na wananchi

    Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
  2. Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  3. D

    KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
  4. DOKEZO Responded Majengo ya Hospitali (Mkuranga) yametelekezwa huu Mwaka wa 10 sasa, Wananchi tunaseka kupata huduma mbali

    Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani. Mgeni wetu huyo akatoa ushauri kuwa kama tuna maeneo tufanye mchakato wa kujenga Hospitali...
  5. Tusipende kufananisha matamasha ya Simba day na kilele cha week ya wananchi

    Watu wanalinganisha ubora wa haya matamasha, ambalo ndo jambo baya zaidi. Haya matamasha ni tofauti kabisa. Sisi Yanga tuna utamaduni wetu tofauti na ule wa mtani. Watu wa Yanga ni watu wa burudani, wana pesa na wanajitoa Kwa team Yao tofauti na upande wa pili Simba hawana furaha team Yao haina...
  6. Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139

    Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104. Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa "Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13...
  7. Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  8. Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  9. I

    PreGE2025 Olengurumwa: Kitendo cha kuwanyima haki ya kuchagua na kuchaguliwa Wananchi wa Ngorongoro hakikubaliki kwa wapenda haki

    Kufuatia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kudaiwa kuviondoa kwenye orodha vituo vya kupigia kura vilivyokuwa kwenye Tarafa ya Ngorongoro na kupelekea hali ya sintofahamu kwa wakazi wa maeneo hayo, Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa...
  10. Matamasha ya Simba Day na siku ta wananchi yanaogopesha makocha na wachezaji wa kigeni

    Ile nyomi na shamrashamra kisaikolojia huwa inawatoa wachezaji na makocha kweny focus yao maana hudhani hizi timu ni kuuubwa na ziko serias,mwishO wa siku hukosa kujiamini. Subiri zicheze na na timu za kawaida kama Jkt ,namungi etc ndio ukweli udhihirika kuwa hakuna timu
  11. Kama mawakili wanaweza kufanyiwa michezo michafu kwenye uchaguzi wao, wananchi wa kawaida tutaweza kuwazuia hawa 'wahuni' kweli?

    Wakuu, Tumeendelea kuweka taarifa kama tunavyozipokea, kama mlivyoona zoezi la kupiga kura limesimama kwa muda mpaka wakati huu naweka uzi huu hapa kutokana na karatasi za kupigia kura kupelea, ambako imebidi zikachapishwe nyingine ili zoezi liendelee. Sasa wakati hili linafanyika ukurasa wa...
  12. PreGE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

    Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono... Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi.. Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania...
  13. LGE2024 Dar: Ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo, Viongozi na Wananchi wanateseka, Mamlaka chukueni hatua hii ni aibu

    Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa hazina vyoo kabisa huku kati ya ofisi zenye huduma hizo baadhi vyoo vyake hivipo katika hali ya...
  14. Polisi yahimiza Wananchi wote kuwa waangalizi wa Watoto

    Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo kuwajibika kwa pamoja na kushirikiana na Jeshi la Polisi katani hapo katika ulinzi wa watoto. Mkaguzi huyo...
  15. Utekaji na Usalama: Je, Waziri Masauni Anaweza Kuwahakikishia Wananchi Usalama wa Kudumu?

    Historia na Uteuzi Hamad Masauni aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 10, 2022. Kabla ya uteuzi wake, Masauni alikuwa na uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi, ambapo alishika nyadhifa mbalimbali ndani ya serikali na Chama cha Mapinduzi...
  16. Gavana wa Arusha atakuwepo uwanjani kuwaona wananchi?

    Kama mjuavyo leo yanga fc watakipiga huko southAfrica. Na kwa taarifa rasmi zilizotolewa na kiongozi ngazi ya mkoa hapo Arusha ni kuwa gavana wa arusha yupo likizoni akimalizia siku 28 za likizo za mtumishi hukohuko kusini mwa afrika. Sasa swali ni je ataenda kuwatia moyo wananchi hapo...
  17. I

    Nchi 10 za kiafrika zinazoongoza kwa wananchi wake kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi.

    Wengi wa Waafrika wanasema wangekubali kunyakua serikali kama viongozi waliochaguliwa wanatumia vibaya mamlaka, utafiti uliofanywa katika nchi 39 na Afrobarometer ulionyesha. Kulingana na ripoti hiyo, iliyopewa jina la "African insights 2024 Demokrasia hatarini" - mtazamo wa watu, kuna tofauti...
  18. K

    Tufundishe wananchi kulalamikia haki muhimu

    Nimekuwa Tanzania kwa mwezi mmoja na ndiyo nimerudi kwenye kazi yangu hapa Texas, USA. Kuna kitu nimeona Tanzania ambacho nafikiri ni vizuri kubadilika Lazima wananchi wajue jinsi na vitu vya kulalamikia. Tufundishe wananchi kulalamikia vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wa serikali na sio vile...
  19. Dar: RC Chalamila ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa, katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania

    RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM. -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya...
  20. Mbunge Wambura Chege: Sitarudi Nyuma, Nimechaguliwa na Wananchi, Lazima Kuwatumikia

    MBUNGE WAMBURA CHEGE: "SITARUDI NYUMA, NIMECHAGULIWA NA WANANCHI LAZIMA KUWATUMIKIA" "Tumezaliwa tunazungumzia changamoto za Madaraja, Maji na maeneo mengine. Nimeamua kujikita kwenye shughuli za Maendeleo lakini kuna watu wanapita kutafuta namna ya kutugawa. Naomba tushirikiane tushikamane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…