wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Keko Mwanga: Mtaa unaonuka, mitaro ya maji taka ni tishio afya za Wananchi, agizo la DC ni kama ‘limepuuzwa’

    Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya kawaida na maeneo mengine, harufu ni kali na mbaya ya uchafu. Harufu hii inatokana na mitaro ya maji...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mwenezi Zangina Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha, Malinyi

    ZIARA YA KATIBU MWENEZI ZANGINA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA, MALINYI Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina katika kipindi cha Kujiandikisha alitumia muda mwingi kuhamasisha Wananchi wote wa Mkoa wa Morogoro kwenda...
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Dawasa na mtambo wa Ruvu Juu ni mzimu unaowatesa wananchi wa Dar es salaam

    Hii dawa yenu inayochemka saivi yaani ipo siku kuna watu watainywa ikiwa ya moto kabisa.
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa:Chadema acheni visingizio hamkujiandaa uchaguzi wa Serikali za Mitaa msiwadanganye Wananchi.

    Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na kificho, Slaa amewapa somo Chadema, akiwataka wafahamu kwamba kwenda...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ushahidi kiwango cha uaminifu kati ya wananchi kimeongezeka sana hasa kwenye pesa?

    Wakuu kwema? Niwe mkweli, siku hizi kiwango cha uaminifu kimeongezeka sana hasa kwenye pesa. Sijajua sababu. Unaweza kukutana na mtu hamjuani ukamuachia pesa nyingi bila maandishi na kazi akafanya tena kwa wakati. Mifano Kuna dogo nilimpa 4M simjui anifanyie kazi, bila maandishi, jamaa yangu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI acheni mapambio, wananchi wanaumia.

    Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu na kuhubiri uongo, kwa sababu ya kulinda ugali na uchawa uliopitiliza. Kuna shule zipo kwenye...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia 94.83 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579, ambapo wanaume ni takribani 15,236,772 sawa na asilimia...
  10. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

    Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga. Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zangina, Katibu Uenezi CCM Mkoa wa Morogoro Alipokuwa Ifakara Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
  12. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwenye Haki za Wananchi, Awamu Hii, Nchi Ipo Kwenye Hali Mbaya Kuliko Awamu Yoyote

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo. Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii. Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kurejesha imani ya wananchi kuhusu uchaguzi?

    Baada ya siasa za Tanzania kufanywa na dola badala ya wanasiasa imani ya wananchi imepotea kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Awali ilikuwa dola haijitokezi adharani kudhibiti wanasiasa ila kwa zaidi ya miaka nane sasa wanasiasa wameonyesha kuweka dola mbele zaidi. Je ni lini dola...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Suma Fyandomo (Mb) Atua Mbeya Vijijini Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    SUMA FYANDOMO ATUA MBEYA VIJIJINI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA "Tujiandikishe ili tuweze kumchagua kiongozi ambaye kila mtu anaona anafaa, kila mtu anayo hiari ya kuchagua Kiongozi ambaye anaona anamfaa. Kujiandikisha na kupiga kura ni haki ya msingi ya kila mtu na ndiyo uzalendo wenyewe"...
  15. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu, ahimiza wananchi kujiandikisha.

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
  17. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kauli za kuupoteza Upinzani Nchini zinavyopoteza Wananchi kujiandikisha kupiga kura Tabora

    Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa. Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mwitikio huu hafifu wa wananchi kujiandikisha, Serikali wana la kujifunza!

    Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa, ni wananchi wachache sana ambao wamejitokeza kwenda kujiandikisha. Nilipojaribu kuwahamasisha wakajiandikishe, nilisikitishwa na nilichoambiwa. 1. Wananchi wengi miongoni mwa niliowauliza wanatambua umuhimu wa...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi ni kama wamegoma kujitokeza kujiandikisha Olasiti, Arusha, kwani shida ni nini?

    Hivi ndivyo ilivyo katika Kata ya Olasiti pande za Chuga, jamaa ameshea video akionesha mwitikio ni mdogo sana, Wananchi wanajitokeza kwa uchache sana kujiandikisha. Ndugu zangu kwani shida ni nini?
  20. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Mbeya Jiji ni kama wamekata tamaa ya uchaguzi

    Licha ya viongozi wa vyama na serikali kuhamasisha Wananchi kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura, hali ni tofauti na matarajio yao. Wananchi wamekuwa na mwitikio mdogo sana katika zoezi hilo na hii ni kutokana na Wananchi kuona hakuna umuhimu wa kupiga kura. Nimepata bahati ya...
Back
Top Bottom