wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA moja ya mafanikio yao, wamefanikiwa kuichonganisha Serikali na wananchi wake. Chuki ipo juu sana

    Hamjambo! Walianza na harakati za ufisadi miaka hiyo. Enzi hizo. Kukemea mafisadi, kuyataja mafisadi. Waliopo na ambao hawapo. Enzi hizo kina Slaa na wenzake. Walipaza sauti. Kipindi hicho utekaji na mauaji yalikuwa kama Hayapo alikuwepo Mzee Kikwete. Na kama yalikuwepo basi ni kwa kiwango cha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Watumishi wa Halmashauri kulazimishwa kuchangia pesa za Mwenge ni kero kubwa

    Wafanyakazi wa Halmashauri tunalazimishwa kuchangia fedha ya mwenge. Hii kisheria haiko sawa, Serikali inapesa ya kujiendesha na kufanya sherehe zake kama hizi bila Kuminya watumishi ambao vipato vyao ni vya chini sana. Usipolipia unahamishwa/unaitwa ofisi ya mkurugenzi ukajieleze.
  4. JamiiForums Tanzania Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Sheikh Kabeke: Vyombo vya ulinzi havihusiki na mauji ya wananchi

    Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa. Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Wananchi wataanza kuchukua Silaha za Askari kwa kuwadhania ni wanamgambo wa Mwaipopo

    Leo nimeona Mwaipopo ana vijana wamefunikwa uso na kutishia maisha ya watu wasiandamane, JWTZ kwenye lile tangazo lako kama kweli wanalinda mipaka na mamlaka ya nchi hii wanatakiwa walichukulie tukio lile kwa uzito mkubwa. Wananchi wa Tanzania mnahaki ya kujilinda na kuchukua Silaha hata kwa...
  8. JamiiForums Tanzania ACT: Serikali imalize mgao wa maji Dar, Wananchi hawawezi kuendelea kubebeshwa gharama za uzembe na ufisadi

    ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
  9. JamiiForums Tanzania Nilichokigundua Wanasiasa wanawaogopa sana wanaharakati inaonyesha wanaharakati wanakubalika sana kwa wananchi kuliko wanasiasa

    Mwigulu ni waziri mkuu anazunguka kuwananga wanaharakati baada ya kueleza serikali yake imefanya nini ? Imepunguza kero za wananchi maskini kwa kiasi gani? . Yeye yuko busy na wanaharakati cha ajabu wanaharakati hawana time na Mwigulu...
  10. JamiiForums Tanzania NIDA yakabidhi kiasi cha TZS 61,053,535,363 Serikalini kwa maendeleo ya Wananchi

    Dar es Salaam, 1 Julai 2026 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni fedha za makusanyo yake katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya Jamuhuriy a Muungano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo vya dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imeisahau Barabara ya Bonyokwa-Kinyerezi? wananchi tunaendelea kuteseka

    Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu ujenzi wa barabara ya Bonyokwa, hususan eneo la Kimara Mwisho. Zaidi ya mwaka mmoja uliopita, mkandarasi alichimba upande mmoja wa barabara lakini akaiacha bila kuendelea na ujenzi. Hali hiyo imeendelea kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania DC Magoti-Kisarawe: Ujumbe wako toka kwa wananchi, polisi wanyanyasa kwa ruksa yako usiku wa manane!

    "Brand ya Wanaume", DC Magoti wa Kisarawe akilalamikiwa vikali baada ya polisi kuvamia nyumba na kuvunja geti. Utaratibu wa ukamataji kwa PGO umezingatiwa? Clip inazunguka mitandaoni.
  15. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mikutano ya chama kilichokuwa kimefungiwa kwa zaidi ya miaka nne imeitikisa CCM ni dhahiri kuwa wananchi wameishaichoka CCM

    CCM ile ambayo ilikuwa haijachokwa ilikuwa na kiburi sana. Walikuwa hawaogopi chama chochote na walikuwa wanatumia Khanga na nyimbo za John Komba kuwarubuni kina mama ili kupata kura. Leo hii watamrubuni nani kwa khanga na nyimbo za mipasho? Mikutano ya chama kikuu cha upinzani imekifanya kiwe...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unadhani ni wakati muafaka sasa kuwe na sheria ya kuruhusu wenye dhamana za wananchi tu ndio wafanye mikutano ya hadhara ya kisiasa?

    Hii ikimaamisha, viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
  18. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ndo inaongoza kua na viongozi mzigo kwa wananchi kuzidi awamu zote. Tangia nchi imepata uhuru

    Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana. Jamani hata kama mlijichagua bila kuchanguliwa na wananchi ndo...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania na kenya: Tofauti za kiuelewa kwa wananchi wa kawaida hadi kwa wanataaluma. Kumbukumbu ya gwiji mzee wangu MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

    NIMEJIKUTA NAMKUMBUKA MCHUNGAJI MTIKILA. Binafsi nimefuatilia sana siasa za kenya kama kama ninavyofuatilia siasa za hapa nchini kwetu Tanzania. Ukweli ni kwamba nchi hizi mbili ni miliki ya jumuiya moja ya Africa mashariki na zina historia ya kiasi fulani ya utawala wa kingereza kama...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na changamoto kubwa ya uongozi tuliyonayo lakini nimegundua nimegundua wananchi wengi nao ni Changamoto baada ya kuung'oa mfumo ovu kazi bado

    Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua jambo moja muhimu: wananchi wenyewe ni sehemu ya changamoto hizo. Tukumbuke, viongozi hawaanguki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…