wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuhoji aliko Ayatollah, atoke mafichoni, Israel imeacha kupiga

    Wanashangaa mbona mzee bado amejificha, kulikoni, Israel ilishafanikisha malengo, vinu vya nyuklia vimesambaratishwa.............. Two days after a ceasefire between Israel and Iran came into effect, Iranians are growing concerned over the well-being of Ayatollah Ali Khamenei, The New York...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu- Viongozi waliokuwa madarani minaona acha waendelee sababu wananchi hai wanataka nini japokuwa sikubaliani na mambo mengi wanayoyafanya

    MIMI NIMETANGAZA NIA YA KUWA RAIS WA TANZANIA NI UKWELI WATU WANAHAKI YA KUNIPINGA ILA NASHANGAA SANA WATU HAO HAO UNAWAKUTA WANALALAMIKA KWENYE NYUZI NYINGINE Kuna watu kibao hawamsupport Rais Samia na ccm cha ajabu wanakuambia makonda anafaa, wengine dotto biteko, wengine makamba, wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  5. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais hizi ni gharama za nyumba ambazo watauziwa wananchi hii ni proposal tu

    Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha makazi ya watanzania yanakuwa mazuri na katika ubora unaotakiwa Barabara zote zitakuwa kubwa na zitapigwa lami Kukiwa na mipango miji kutakuwa ni rahisi kupigwa paving Kutakuwa na mfumo wa Sewage watu hawatachimba tena mashimo Nyumba zote...
  6. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Wameamka, Miaka yote Mitano walikuwa wapi?

    Wakuu, Katika kipindi cha wiki moja tu, mbunge mmoja ambaye kwa muda wa miaka mitano alikuwa kimya na asiyeonekana mara kwa mara katika shughuli za maendeleo, sasa ameibuka kwa kasi ya ajabu. Swali la msingi ambalo linaibuka kwa wananchi ni hili: Mbunge huyu alikuwa wapi kwa miaka yote mitano...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Captain Ibrahim Traoré ajenga nyumba mpya za bure kwa wananchi wa Burkina Faso

    Wakuu ==== Nimekutana na hii video inasemakana ni nyumba za bure kwa wananchi wa taifa la Burkina Faso kuna ukweli wa taarifa hii?
  8. JamiiForums Tanzania Video: Wananchi Kisesa wamshangilia Luhaga Mpina wagoma kutawanyika baada ya mkutano

    Wakuu, Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais. Umati mkubwa wa wananchi wa Mwandoya waliokuwa wamehudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, wameshindwa kujizuia kwa furaha waliyonayo, na kujikuta wakimsindikiza hadi...
  9. JamiiForums Tanzania No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

    1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani 2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi 3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali 4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
  10. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Kura: Jinsi Mfumo Unavyowalaghai Wananchi kwa Lugha Tamu za Kisiasa

    Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika, bali ni ujinga uliopandikizwa kwa makusudi na mfumo wa kisiasa unaonufaika na kutojitambua kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwa wananchi wanyonge, zaidi ya robo ya fedha wananchi wanazokusanya, zinaenda kulipa madeni

    "Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwenye mabega ya wananchi wanyonge. Wananchi wanaongezewa kodi, ushuru na makato katika huduma muhimu kama vile umeme, elimu, afya, maji na kodi kwenye mazao ya kilimo ili kulipa madeni haya. Mathalani mwaka huu 2024/25 Serikali imepanga...
  12. JamiiForums Tanzania Ni nini na lini hatima ya wasiojulikana na utekaji, nani anapaswa kuwajibika katika wajibu wake... Wananchi wanahaja ya kupata ufafanuzi yakinifu

    Serikali kwa maana ya kwamba viongozi husika (Raia nambari 1 hadi 10) wanawajibu wa kuleta majibu yenye mashiko juu ya maswali haya. Niliwahi kuona mbele ya muda exactly nini kitatokea na kikaja kutokea na nikaandika; "Thread 'Hukumu ngumu(bias) katika mashtaka mepesi' Hukumu ngumu(bias)...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

    CCM inawapa wananchi hela, ma tshirt na baiskeli na vitu kibao, huku upinzani wakipewa hela na wananchi hii inatupa picha gani ?
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

    Wakuu, Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu. Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akiwahutubia Wananchi wa Busega, Juni 19, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 19 Juni, 2015 https://www.youtube.com/watch?v=j2aFvrKFZxM Rais Samia Suluhu Hassan akifungua mradi wa Maji na Usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega...
  16. JamiiForums Tanzania Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli Viongozi ni zao la wananchi maana wanatoka kwenye jamii , tatizo linaanzia kwenye jamii, mpe KIJANA wetu million 10 uone vipaumbele vyake!!

    Huo ndo ukweli mchungu , Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
  18. JamiiForums Tanzania Bashe na rais Samia wanafahamu ubaya wa Mpina kuliko wananchi waliomchagua??

    Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi. Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili wakalime Dodoma! Yaani wakalime Dodoma! Gharama kubwa za kutia mashaka zikatumika kujenga miradi ya BBT...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa uwanja wa ndege mwanza miaka 3 bila kukamilika. Wananchi tuelezwe tatizo ni nini

    Rais atafika Mwanza kuzindua daraja la Busisi Kigongo lakini wananchi wanashangazwa pia na dana dana zinazopigwa kukamilisha uwanja wa ndege wa Mwanza na kuufanya wa kimataifa. Ni kweli kwa hili tunaidai Serikali kwa vile ni shs bn 3 kati ya 28 zimetolewa hadi sasa kipindi cha miaka miwili...
  20. JamiiForums Tanzania Tusijifanye hatujui kuwa hata Tanzania sasa imejumuishwa katika nchi zaidi ya 30 ambazo Wananchi wake hawatakiwi kwenda Marekani

    Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata mshika mpini nae asisafiri kwenda Marekani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…