Kibaha, Pwani
Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha na kuendelea kutumia mfumo wa kielektroniki wa e-Ardhi, unaorahisisha upatikanaji wa hati miliki za ardhi kwa muda mfupi.
Kwa mara ya kwanza katika Halmashauri...