wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sijasikia wananchi wa kawaida wakiwalilia mashujaa wa CHADEMA waliotiwa nguvuni

    Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao. Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM. Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

    Eid El Adha! Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya. Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John Heche 4. Rose Mayemba 5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela) 6. Steven Odipo 7. Dr. Rwaitama 8. Seti...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mawasiliano: Marufuku kusainisha wananchi mikataba ya lugha za kigeni

    MIKATABA YA LUGHA ZA KIGENI KWA WANANCHI YAMKERA NAIBU WAZIRI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amesikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa makampuni ya simu nchini kuwasainisha wananchi mikataba au makubaliano yeyote ya kutumia ardhi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kwa viongozi wetu wa kisiasa kuchagua maneno sahihi ya kujibu hoja za wananchi

    Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46 Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
  6. JamiiForums Tanzania Kilio Cha tozo za miamala ni ushahidi kuwa wananchi wanakaribia kuzisahau tofauti zao za kisiasa dhidi ya maisha Yao.

    Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama vyao vya siasa. Hakuna wanaCCM wala wapinzani kwenye tozo za miamala ya simu. Hii sio ishara njema...
  7. JamiiForums Tanzania Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

    Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni. Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

    Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
  9. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania CCM: Tunawashukuru wananchi Jimbo la Konde kwa kukiamini chama na kukipatia ushindi wa kishindo

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa jimbo la hilo ambapo mgombea wa CCM Ndugu...
  12. JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wamuua aliyemshambulia Askari

    Kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 amefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi baada ya kumjeruhi kwenye taya na kidevu Askari wa Usalama Barabarani kwa kumpiga na chuma cha kupondea mawe (Moko), wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi Mtaa wa Mwembeni, barabara ya Katoro Ushirombo...
  13. JamiiForums Tanzania Badala ya Bunge kuwa mtetezi wa wananchi, limekuwa mbunifu mkuu wa kunyonga Wananchi

    Alitoa hoja bwana Zungu kuwa wananchi wachangie serikali kupitia line za simu bila kujua kuwa tayari wanachangia kupitia kununua vocha na kutuma na kupokea pesa. Sasa zungu akatoa hoja nyingine ya wananchi kulipishwa mara mbili kwenye huduma moja, yaani pale unapotuma hau kutoa pesa kuna kodi...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya wananchi kuvamia mabunge yanayopitisha sheria za ovyo

    Ukitaka orodha ya Mabunge yanayo pitisha sheria za hovyo basi Bunge la Tanzania hupaswi kuliacha kabisa. Pale Dodoma Bunge limegeuka kuwa taasisi ya kupitisha kula kinacho pangwa na Serikali, haijawahi tokea wakakipinga hata ile ya kinafiki. Kila kinachoplaniwa na Serikali lazima wakipitishe...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi Pemba: Tupo tayari kurudi kulekule kwa kutoshirikiana, ikiwemo kila mtu awe na lake

    Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa kutotoa ushirikiano kwa upande wa pili… ikiwemo kila mtu awe na lake.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, Wananchi wamezoea bure kila kitu?

    Inaelekea Tanzania tuna tatizo la wananchi kuzoea bure na misaada. Ukiangalia hata mijadala mingi watu wanaongea na kuandika kama vile kila kitu inatakiwa serikali kutoa. Hatuwezi kuwa na machinga kila mahali hawalipi kodi halafu tushangae kodi kuongezeka kwenye simu. Ni lazima tujue bila...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge livunjwe, Wananchi tutasema wenyewe mtandaoni

    Wabunge wni wawakilishi wa wananchi ambao wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi. Hii ni tafsiri ya kikatiba lakini kiuhalisia hali ni tofauti. Niwakumbushe ndugu zangu kulikuwa na ongezeko la bei za vifurushi ambapo ni kelele za wananchi katika mitandao zilizofanya zile bei zishuke...
  18. JamiiForums Tanzania Mtatiro arejesha milioni 85 kwa Wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, amerejesha jumla ya Sh milioni 85,463,848 ambazo Wananchi mbalimbali waliporwa na watu au taasisi mbalimbali kinyume cha sheria, hivyo ofisi yake ikafanya oparesheni za kuokoa fedha hizo. Mtanzania
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali. Wito huo umetolewa leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021 na Mwenyekiti...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wanalalamika tozo, Mbunge badala ya kuwatetea anaipigia debe Serikali

    Nchi ya ajabu kupata Kutokea. Mbunge anachaguliwa na wananchi ili awawakilishe bungeni akawasemee mahitaji yao na kero zao. Mbunge kashiriki kupitisha sheria ya tozo ambayo ni kero kwa wananchi wake. Wananchi wanalalamika Mbunge anageuka wakala wa Serikali kuwataka wananchi wake wavumilie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…