wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lini wananchi wataacha kuziamini porojo za wanasiasa?

    Tangu nchi ipate Uhuru Haakuna Ilani ya Uchanguzi ya chama cha siasa isiyokuwa na agenda kusabambasa maji, zahanati, pembejeo, masoko, ajira kwa wananchi, lakini baada ya uchaguzi kumalizika na mshindi kutangazwa hakuna ahadi iliyotekelezwa. Uchaguzi ukija wanarudia yaleyale tena mpaka miaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

    Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani. Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
  3. JamiiForums Tanzania Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  4. JamiiForums Tanzania Makamba Yusuf. Na hawa Wananchi waliokunjamana uso utadhani wanaangalia jua kali, lini wataanza Kulamba Asali kama Ninyi?

    Hii nchi inaumiza sana moyo. Yaani wakati wananchi wa kipato cha chini wanaumia na maisha magumu wakilambishwa Shubiri. Kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba asali. Na mbaya zaidi kuna watu wanampigia makofu na kushangilia. Hili ndilo lililoniumiza zaidi. Yaani form one wanacheka na form two...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvivu wa wananchi na bunge ni vya kulaumiwa kwenye bei ya chakula

    Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari. Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inalazimisha wananchi wake waiseme vibaya na waichukie?

    Haiwezekani Serikali ilazimishe wananchi wake waanze kulumbana nayo kwa kuisema vibaya na kuichukia kwa sababu ya mtu mmoja tuu Huyo Waziri wa Nishati anafanya nini hapo? Kwanini anafanya serikali yote ichukiwe kwa ajili yake peke yake? Je, watu wazuri na makini wa kuisimamia hiyo wizara...
  8. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mguu kwa Mguu iliyofanyika Kawe ni fedheha kwa CHADEMA, kwani imekosa mvuto kwa wananchi

    Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania UVCCM wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi wangemshinikiza Rais Samia amfute kazi January Makamba na Mwigulu Nchemba

    UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao. Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha. Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
  12. JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa hali mbaya ya bei za bidhaa na uhaba wa chakula, Serikali ichukue hatua kuelimisha wananchi

    Uchumi unajengwa na mambo makuu mawili tu uuzaji na ununuaji iwe bidhaa au huduma (Demand and Supply). Mnyororo huu ukiyumba wa uuzaji na ununuaji tegemea maafa makubwa sana kwenye uchumi wa nchi Hali mbaya ya maisha ilishaonekana hata kabla ya vita na niliandika uzi huu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

    Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo. Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti. Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk. Mapungufu ya msingi yapo...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu. Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku. Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli na legacy yake

    Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa uchumi. Ni yeye Magufuli ambaye ameacha legacy kubwa sana Tanzania ya vitu ambavyo ni alama ya uongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na kutoza kodi ya viwanja na nyumba. Je, wananchi wameandaliwa?

    Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM tuoneeni huruma wananchi. Hii nyumba ya Kiongozi wenu wa Wilaya aliyekubali kuhama Ngorongoro haina thamani ya Mil. 300, ameona fursa

    Naomba viongozi wa Serikali wawe na hofu ya MUNGU, nawaomba wawe na akiba ya maneno kwenye mikakati Yao, naomba wathamini maskini kuliko kuthamini watu wasio na uchungu na nchi hii. Ngorongoro propaganda zimezidi lakini sasa wakati propaganda zikiongezeka linaibuka tatizo jingine la wizi na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

    Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025 au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine, sioni la maana sasaivi...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

    Amani iwe kwenu, Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi. Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya Wananchi waliowengi ni CHADEMA; CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na haki

    CCM Ina watu wanamiliki kadi za chama Kwa usalama wao, Mali zao na jamaa zao lakini hakuna wanachama. Sirini hata wale waliopo karibu na Mwenyekiti wa chama Wana maamuzi Yao binafsi ambayo ni kinyume kabisa kile mwenyekiti anachodhani. Magufuli amegeukwa; hata walewachache waliojitumumua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…