wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Ongezeko la bei za bidhaa ni chanzo cha wananchi kuishi kama watumwa

    (Picha mtandoni) Utangulizi Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni. Wananchi wengi ndani ya sehemu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushirikishwaji wa Wananchi katika utekelezaji wa maamuzi ni nguzo ya Utawala Bora

    UTAWALA BORA huusisha ushirikishwaji wa wananchi wote walioko ndani ya jamii au nchi kiujumla juu ya utekelezaji wa maamuzi pendekezwa na viongozi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ndani ya jamii na taifa kwa ujumla kwa kuzingatia haki na usawa wa kila mwananchi aliye ndani ya jamii husika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, maadhimisho ya siku ya wakulima, maarufu kama nanenane yana tija yoyote kwa wananchi wa Tanzania?

    "Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022. Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wenye akili tu: Uwakilishi wa bunge uwe automated, wananchi washiriki ki-digitali, hatuhitaji wawakilishi

    Wasalaam, Kama una akili chakata hili. Hatuitaji wawakilishi, watu wanaokua fatly paid, wanaenda kulala bungeni. Mawazo ya wananchi yanaweza kupatikana online, kwenye platform official itakayo ruhusu michakato na deliberations ya issues za kitaifa na kimataifa. Gone are the days where...
  6. JamiiForums Tanzania Unguja: Waziri Dkt. Stergomena afanya ziara kutatua migogoro ya ardhi kati ya jeshi na Wananchi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewatembelea na kuongea nao Wananchi wa maeneo ya Visiwa vya Unguja kuhusu namna watakavyoshirikiana katika kutatua migogoro ya ardhi baina yao na vikosi vya Jeshi. Akiwa kisiwani humo, Stergomena alipata fursa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Kocha Pitso Mosimane haji Wananchi Day kwasababu ya Yanga SC, bali ni Uswahiba wake mkubwa na CEO Senzo Mbatha

    Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC inamleta Kocha Pitso Mosimane katika 'Wananchi Day' yenu. Ukweli ni kwamba CEO Wenu Jezi Mbovu na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe anachochea mgogoro kati ya muwekezaji wa Makoa Farm na Wananchi

    Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani aitwaye Elizabeth ana mkataba wa uwekezaji unaofika ukomo mwaka 2039. Mapema mwezi huu mbunge SAASHISHA...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tunduma Frank Mwakajoka akizungumzia mchakato wa katiba mpya

    July 2022 Songwe, Tunduma MBUNGE WA WANANCHI WA TUNDUMA MHE FRANK MWAKAJOKA AKIZUNGUMZIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wamepata elimu ya kutosha kuhusu sensa ya watu na makazi, kwa maendeleo?

    Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua umuhimu wa Sensa katika taifa letu la Tanzania licha ya zoezi hilo kuwasaidia Wananchi hao na...
  12. JamiiForums Tanzania Wananchi Tunisia washerehekea katiba mpya

    Masaa kadhaa yaliyopita Wananchi wamejitokeza mitaank kusherekea kupatikana kwa katiba mpya nchini Tunisia. Katiba hiyo imepatikana baada ya ile ya zamani kuondolewa na Rais wa sasa Mhe. Kais Saeid hali iliyomfanya kuendesha nchi kwa amri yake kwa muda wa mwaka mmoja. Wakosoaji wanaeleza kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Katiba Mpya au upinzani mpya?

    Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu. Kwa kuzingatia...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Uzalendo hauji kwa kufundishwa ama kulazimishwa, bali ni matokeo ya Wananchi kuridhishwa na namna nchi inavyoendeshwa

    Utangulizi Uzalendo ni hali ya mtu kulipenda na kulitumikia taifa lake kwa moyo wa dhati. Uzalendo ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote kwa kuwa ndicho kichocheo cha ndani kabisa kwa mwananchi mmoja mmoja kulijenga na kulipigania taifa lake katika nyakati ngumu na nzuri. Hivyo, ni...
  15. JamiiForums Tanzania Sungusungu wapigwa marufuku kupiga wananchi

    Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limepiga marufuku hatua ya walinzi wa jadi maarufu kama Sungusungu kukamata wahalifu na kuwashushia vipigo vizito ambavyo wakati mwingine vimekuwa vikiwapelekea kupoteza maisha kabla ya kufikishwa mikononi mwa Polisi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

    Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao. Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo. Misaada hii ililegwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano yaibuka Madagascar Wananchi walia hali ngumu ya maisha

    Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo. Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
  18. JamiiForums Tanzania Ghana: Mbunge apondwa na makopo, akimbizwa na wananchi kwa ahadi za uwongo

    Vijana wenye hasira Nchini Ghana katika eneo la Suame, ikidaiwa pia wamempiga makofu, kumtukana pamoja na kumwagia maji Mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, wakidai amekuwa na ahadi za uwongo kwa kutotimiza ahadi zake za kurekebisha miundombinu. Osei Kyei Mensah-Bonsu ni Mbunge wa Chama cha New...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi achanja mbuga kusikiliza kero za wananchi na kuhamasisha sensa jimboni

    DKT. SAMIZI ACHANJA MBUGA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUHAMASISHA SENSA JIMBONI. Leo imekuwa mwendelezo wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe Dkt. Florence George Samizi ambaye ametembelea kwenye Stendi ya Halmashauri ya Kibondo na kuhamasisha Sensa ya watu na makazi...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, waeleze wananchi kwamba ugonjwa uliogundulika Lindi ni rahisi zaidi kusambazwa na mbwa pia

    Salaam, Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa. Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na homa kali,kuumwa viungo vya mwili pamoja na kutokwa na damu puani. Mwanzoni ugonjwa huu haukuweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…