wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Ndege ya kijeshi ya usafiri ya Colombia iliyokuwa imebeba wanajeshi 80 imeanguka muda mfupi baada ya kuruka angani

    Jeshi la Colombia limesema leo kuwa takriban wanajeshi 80 wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali ya ndege ya usafiri kusini mwa nchi hiyo. Kulingana na shirika la habari la AFP, likinukuu chanzo cha kijeshi, angalau vikosi viwili (platoons) vilikuwa ndani ya ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa...
  2. O

    Miendo ya kijeshi kama kwata/gwaride, marching, au michezo ya kikosi (drills) inasaidia nini kivita, kikazi zaidi Kwa wanajeshi na askari?

    Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno. Afande tujifunze. https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
  3. S

    Kituo cha rada na Satelite yamelipuliwa Israel. Wanajeshi 140 wa Marekani wajeruhiwa

    satellite station na kituo cha mawasiliano ''radar'' karibu na beit shemesh nchini israel zimelipuliwa na kusababisha moto mkubwa kuwaka siku ya jana mara baada ya msururu wa makombora na drones kurushwa na jeshi la IRGCC. Hali kadhalika pentagon wamethibitisha wanajeshi 140 wa usa...
  4. ELI COHEN

    Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  5. W

    Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano.
  6. M

    Iran - Mkuu wa Usalama wa Taifa, Waziri wa Ulinzi, na Mkuu wa Jeshi wafariki baada ya shambulio la jeshi la anga la Israel

    Katika shambulio la kushtukiza lililotokea leo, Jeshi la Anga la Israel (Israel Defence Forces) limefanikiwa kuwalenga viongozi wakuu wa Jeshi la Iran, kwa msaada wa ushirikiano na Jeshi la Marekani. Mohammad Pakpour – Kamanda Mkuu wa Jeshi kubwa zaidi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)...
  7. Wakusoma 12

    Wanajeshi wa Urusi waliiambia BBC: 'Tulishuhudia wenzetu wakiuawa kwa amri ya makamanda wetu'

    Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Maelezo kuhusu taarifa Onyo: Taarifa hii ina maelezo ya vurugu iliyokithiri na marejeleo ya kujiua...
  8. figganigga

    Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo. Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli? Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi? Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
  9. pulex

    Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

    Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo. Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda...
  10. JamiiCheck

    KWELI Baadhi ya Picha na Video zilizochapishwa mtandaoni kumuhusu Rais Maduro baada ya kukamatwa na Marekani zinapotosha uhalisia

    Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa anakamatwa ama akiwa katika mikono ya wanajeshi wa Marekani.
  11. A

    KERO Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka

    Mwezi Julai 2025 ndipo ahadi ya Serikali kuwalipa mafao wastaafu wa jeshi waliopigana vita ya kagera. Taratibu za kuwakusanya wazee hao zolifanyika uku wakitoka sehemu mbali mbali za nchi na kukusanyika mahali walipo pewa taarifa kukutana ili wapate mwongozo.. wakapewa mwongozo wakafungua...
  12. I

    Mtambo wa Kichina wa kurusha makombora walipuka na kuua wanajeshi 8 wa Cambodia.

    https://www.instagram.com/reel/DSuT14MCbJf/?igsh=ZnBzOGh3bGhpOW51
  13. Sifi Leo

    Tetesi: Wanajeshi na polisi mliopo Majani Ya Chai muwahisheni raia mliyegonga na gari hospitali. Tumewaona!

    Ni tukio la dakika tano. Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi. Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
  14. wa stendi

    Wanajeshi nao wameamua kukesha leo

    Tayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Ni usiku sasa, Wanajeshi rudini mkalale Polisi wafanye doria kuwalinda

    Ndugu zangu wa JWTZ, ni muda wa kwenda kulala, yes kalaleni kwa amani, polisi wapo kwaajili ya kuwalinda wala msiogope. Pumzikeni baada ya kazi ya kupasua matofali kwa kichwa. Mkikamatwa mnazurura msije mkalaumu, si mnamjua kamanda Mafwele, kiboko yenu?
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  17. S

    Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  18. Mende mdudu

    Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi. Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza...
  19. S

    Uzuri nchi ikiharibika, hata hawa Polisi na Wanajeshi nao wataishi kwa shida wao na ndugu zao

    Kama wanafikiri wako sahihi na kwamba huo ndio uzalendo, muda utawapa funzo siku si nyingi pale kila mtu atapoanza kuathirila kwa namna moja au nyingine. Mfano, watakosa madaktari wa kuwatibu wao na familia zao, watakosa muda wa kwenda bar na kunywa pombe, watashindwa kuendesha biashara zao...
  20. Hance Mtanashati

    Wanajeshi ni watu wa kawaida sana , hawana exceptional skills zozote, kinachowabeba wao ni ile brand waliyojiwekea

    Penye ukweli pasemwe. Mpaka leo hakuna martial artist yeyote (G.O.A.T) ulimwenguni kote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za mapigano zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando ,judo, kickboxing, muay thai, jiu jitsu nk Ile man to man huwa hawatoboi , hata tukiangalia kwa hapa...
Back
Top Bottom