wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumetoa Bilioni 100+ ya malipo ya Boom kwa Wanafunzi, Serikali itashughulikia kama kutakuwa na changamoto ya ziada

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Juni 10, 2024 Bungeni Pia soma: ~ Bodi ya Mikopo kuchelewesha fedha za kujikimu (Boom) kwa wanafunzi ~ Wanafunzi 150+ wa Chuo cha IFM hawajalipwa fedha zao za Boom kutoka Bodi ya Mkopo na uongozi upo kimya ~ Hali ni mbaya kwa wanafunzi UDSM...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wanafunzi kundi kubwa la kulisha taifa

    KUBADILISHA TANZANIA TUITAKAYO. Tanzania nchi Yangu iliyobarikiwa kila njanja, Tanzania iliyo na Neema ya uoto asili, Nchi iliyo na Watu Wenye afya ,Iliyobarikiwa Viongozi walioleta Amani na Chakula kwa Wanachi wake. Napenda Kuongea na Nyie kupitia Jamii Forum, Huenda mawazo Yangu yakawa Chachu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi DUCE walilia boom, walalamika viongozi wa serikali kuwatembelea uchaguzi ukikaribia

    Wanafunzi Chuo cha Elimu sehemu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania (DUCE), wailaumu serikali https://m.youtube.com/watch?v=0eDvfPF6Ys0 Mwanachuo bi. Nduguru aliyetokea Songea kusoma campus ya DUCE jijini Dar es Salaam akiongea huku akushangiliwa na wanafunzi hao wa kitivo cha...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Awapa Faraja Wanafunzi wa Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya, Manyoni

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe ametembelea Shule Maalum ya Wasichana Sekondari ya Solya na kuzungumza na Wanafunzi wa kike shuleni hapo na kuwapa zawadi ya taulo za kike na vifaa vya michezo Mbunge Aysharose Mattembe amewatia moyo Wanafunzi wa kike wanaosoma katika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne

    Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne Kwanza kabisa, ninawapongeza wanafunzi wote ambao wamefanikiwa kumaliza kidato cha nne na kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano, au wale waliopata nafasi katika vyuo mbalimbali. Safari yenu ya elimu ni muhimu na...
  7. JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wanafunzi wote sekondari zaidi form 4 pamoja na walimu wa biology

    Nimekuandalia notice nzuri sana za biology ambazo zina kila maudhui yanahitajika kwa ajiri yako ndani yake topic zote zinazotoka kwenye practical
  8. JamiiForums Tanzania Je, twisheni za mtaani kipindi cha likizo zinawasaidia Wanafunzi au zinawapoteza?

    Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha (Hawa hawaamini katika tuisheni za mtaani). Pia Kuna walimu ambao wanawapa wanafunzi wao maelekezo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ‘School Bus’ Tanzania ni ipi? Vigezo gani vinazingatiwa ili gari litoe huduma ya kubeba wanafunzi?

    Tanzania inaendelea kuona ongezeko la shule binafsi jambo ambalo ni zuri na sina shida nalo hata kidogo. Tuliosoma enzi za ujima waliosoma shule hizi tuliwaona mafogo kinoma. Kwanza kwa sisi tuliokuwa nje ya Dar hatukuwahi kusikia school bus, ilikuwa ni ngumu kuamini kuwa eti kuna chalii...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani wazazi wanaweza kudhibiti matumizi ya simu kwa watoto wao ambao ni wanafunzi

    Wazazi wengi wamekuwa wakiwapatia simu watoto wao kwa lengo zuri tu la kufanya mawasiliano na familia na marafiki zao pamoja na wanafunzi wenzao pia, wakati mwingine kwa ajili ya kujifurahisha kwa kucheza michezo mbalimbali iliyomo kwenye simu pamoja na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Elimu kidigitali kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania hasa wanapokuwa nyumbani

    Ufafanuzi wa Elimu Kidegitali Elimu kidigitali ni mchakato wa kujifunza na kufundisha unaotumia teknolojia za kidigitali kama kompyuta, vifaa vya mkononi simu janja, vishikwambi na mtandao ili kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa maarifa na ujuzi. Elimu hii inajumuisha matumizi ya zana na...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa ATC waja na uvumbuzi wa kujenga barabara za makaratasi, mizani isioonekana na wireless electricity

    Wanafunzi kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College ATC) wamekuja na uvumbuzi utakaotumia takataka karatasi katika ujenzi wa barabara. Haijaishia hapo tu, ila pia kutakua na mizani isioonekana chini ya izo barabara za makaratasi, na pembeni hakutakua na nguzo za kupitisha umeme...
  14. JamiiForums Tanzania Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

    Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu 15. Utaratibu wa shule hiyo Wanafunzi wote uripoti asubuhi ambapo baadhi ya Wazazi wenye Watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Vibaka wameanza kuwavamia hadi wanafunzi wadogo na kuwapora vitu vyao. Mdogo wangu ni miongoni mwa walioporwa

    Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule. Wengine wamevamiwa walipokuwa nje ya shule kwa manunuzi kidogo , wamenyang'anywa kila walichokuwa nacho kuanzia kadi ya benki hadi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wenye Account namba za CRDB hawajapata pesa kutoka HELSB?

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ni mbaya kwa wanafunzi UDSM kutokana na kutopata boom kwa wakati

    Wanafunzi hasa chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM mpaka sasa hawajapata stahiki ya fedha za kujikimu ijulikanayo kama "boom" mpaka sasa ilihali hali fedha hizo zilitakiwa kulipwa tangu tarehe 23 mwezi mei. Ukipitia account za SIPA za wanafunzi zinaongesha fedha ziliwekwa tangu mei 13 lakini...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ya shule ya msingi bure, tuition ya kulipia ya lazima kwa wanafunzi wote!

    Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule. Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote. Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
  20. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sera ya Elimu itakayowezesha wanafunzi kujifunza namna ya kujenga amani na maadili ili kupunguza vitendo vya ukatili na migogoro ndani ya jamii

    Katika karne ya 21 ni vigumu kuendana na mabadiliko ya ulimwengu bila kuhitimisha kwamba kuna haja ya elimu iliyoboreshwa zaidi ili kuwatayarisha raia wote kushughulikia matatizo mengi yanayowakabili watanzania. Masuala mengi sana yanayoikabili nchi hii hayawezi kutatuliwa isipokuwa kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…