Jana, kupitia mitandao mbalimbali, tumemsikia mbunge wa Zanzibar akiwaita wananchi ni Kenge. Yaani mtu ambaye upeo wake ni duni, elimu yake ya kubabaisha, mtu mwongo aliyelidanganya bunge kuwa ana diploma, kumbe hata form 4 tu aliimaliza kwa shida, anawaita watanzania Kenge.
Hana uelewa wala...
Sheikh Kishki amewachana Waislamu hasa masheikh kwa unafiki wao
Anasema kazi yao ni kusubiri maskofu waseme jambo nao waingilie kupambana na maskofu. Kwamba masheikh ni wanafiki badala ya wao kuungana dhidi ya dhuluma wanayofanyiwa waislamu badala yake wanaingilia harakati za maskofu kutetea...
Amani haipotei kwa siku tendo la siku moja bali ni malimbikizo ya mambo mengi kwa muda mrefu.
Siku zote, wananchi wa kawaida huwa siyo wasababishi wa kupotea kwa amani. Kila mahali ambapo amani ilipotea, wasababishi wakubwa huwa ni watawala au watawala waliofarakana. Ni vigumu sana mwananchi...
TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili.
Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
Nasikitika kwa padre wa White Fathers kutekwa nchini Nigeria. Lakini, we must not take it personally. Kule Nigeria utekaji nyara watu ni national pastime. Ni hobby.
Lakini Mwislamu anaonyesha kukosa imani na dini na kwa hiyo haifuati.
Always lazima utofautishe kati ya Mwislamu na dini ya...
Salaam jamiiforum.
Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo huwa tunajuana na watu mbalimbali, tukikutana safarini,mikutanoni, sehemu za ibada na maeneo mengi.
Watu hawa baada ya kufahamiana au kujuana kwetu wapo ambao hugeuka kuwa watu wa karibu na kutengeneza bond ama urafiki fulani...
Haina haja ya salamu. Tunaoweza kiinglish tu ndo tutaelewa hapa. Wale wenzangu na mimi tuliokomea madrasa tu hatukufika Sekondari na Chuo... Huu uzi tutaupita kama tunaaga maiti. Kagame amesema hawa viongozi wasijifanye hawajui. Wanajua sana. Kashasema sasa na amekaa pale. 👉 Haka kajamaa...
Wanaume WENGI enzi hizi wanaishi kwa machungu na sonona za hali ya juu kutokana na kutowaeelewa wanawake na tabia zao halisi.
Wakati wasichana wakipewa taadhari juu ya uongo wa wanaume, wavulana hukua bila taadhari yoyote wakiamini wanawake ni wema, wanakuja kugundua a awake ni wanafiki...
"Nilibakwa na majambazi wa Assad - lakini siogopi tena kuonyesha uso wangu".
****************************************
https://www.bbc.com/news/articles/c89xgdyk597o
Niende kwenye mada moja kwa moja Tangu miezi sita nyuma au mwaka mmoja nyuma tulio karibu na uongozi wa chadema tuligundua ipo siri kwa vice-chairman ana matamanio na kugombea uwenyekiti na kuhisi yeye ana uwezo wa kuongoza chama cha Chadema kuliko kiongozi wa sasa anaye maliza muda wake,
Kiasi...
Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
Rais wetu amekuwa akimwaga mapesa kwenye mipira, ati anaweka hamasa.
Lakini kimsingi hakuna hamasa yoyote anayoweka zaidi ya hizo timu kufanya siasa na unafiki
Yaani Aziz ki anavuta million 40+ Kwa mwezi, Ateba anavuta million 30+, waanze kugombania million 10 ambayo itagawanywa Kwa wachezaji...
Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina.
Harris alijifanya...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.