Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema Tume ya kufanya uchunguzi wa uvunjifu wa amani wa vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 iliyoundwa na Rais Samia siyo chombo huru kwani wajumbe wengi wa Tume hiyo waliwahi kuwa...
Kazi mbaya si mchezo mwema.
Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume!
Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari.
Tunataka tume ya Kimataifa, siyo utani huu.
Katika video inayosambaa mitandaoni ikionyesha kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika harakati za kushusha bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali ya Musoma.
Kwa mujibu wa maelezo yanayosikika kwenye video hiyo, hatua hiyo inadaiwa...
Kama wewe ni Mwanachama wa CCM jua wewe ni goigoi. Size yenu ni Wali, chumvi, Baiskeli, pikipiki tshirt kanga na Bango.
Leo tulikuwa buhongwa watu wanapigana wapate pango la CCM.
Mtu unagombana na mwenzio kisa bango? Kama si ugoigoi ni nini? Si ukaprintt bango lako kama kweli unamapenzi na...
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu.
Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
Wakuu
Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe.
Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
Wanachama wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, wameonekana wakirudisha vifaa mbalimbali na kadi za chama hicho, chanzo kikielezwa kuwa mgombea ubunge waliyemtaka ameondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo
Chanzo: Habari Digital
Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea ubunge majimboni.
mbivu mbichi kujulikana soon.
TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) zaidi ya 50 kutoka kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wameandamana katika Ofisi ya Mkoa ya Chama hicho, kwa madai ya kutoridhia uamzi wa jina la mgombea wa nafasi ya udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni kutorudishwa, wakishinikiza kurudisha...
Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa nafasi ya udiwani katika Kata hiyo Bw. Emmanuel Musuya, aliyeongoza katika kura za maoni na...
Maelfu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu wamejitokeza kumdhamini mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025
Chanzo: Jambo TV
Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi
Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu
Kuna...
Wanachama wa CCM Kata ya Namwanga, mkoani Mtwara wamekutana na kuazimia kumkataa diwani aliyeteuliwa katika uchaguzi wa kura za maoni. Hatua hiyo imefikiwa baada ya vikao vyao vilivyofanyika katika kijiji cha Nakalola, wilayani Masasi ambapo wameeleza hoja zao za kumkataa mteuliwa huyo.
Zaidi ya wanachama elfu mbili wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kata ya Kizota jijini Dodoma wameandama kwa mabango kupaza sauti zao wakipinga matokeo ya kura za maoni za nafasi ya udiwani yaliyotangazwa huku wakidai kuwa zoezi hilo lilikuwa sio la wazi ambapo wameiomba Kamati ya Siasa ya Wilaya ya...
Nakumbuka huyu mzee aliwahi kusema mala kadhaa pale bungeni kuwa itafika mahali hakuta kuwa na chama cha upinzani kitachokuwa na wabunge, madiwani na hata wenye viti wa vitongoji na watabaki CCM
Watupu bado watanyosheana vidole na hata kugombana wenyewe kwa wenyewe,Na hiki ndicho kinachotokea...
Wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Mkwedu kata ya Mkwedu wilayani Newala mkoa wa Mtwara wamerudisha kazi za chama haicho, baiskeli na pikipiki kwa sababu ya kuenguliwa kwa majina ya wagombea udiwani. Hayo yamejiri 31 July 2025
Mwanachama wa CCM anayelalamika kukatwa kwa jina lake au majina ya watu aliokuwa anawataka kugombea ni mtu mjinga wa kupuuzwa na asiyejielewa.
Kama ulikubali kupitishwa kwa majina ya wagombea ni jambo la siri la vikao na kamati za chama zina mamlaka ya kufanya teuzi kwa vigezo wanavyovijua wao...
KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, aliyewekwa juu kama mzigo wa haraka uliotupwa mezani bila kuulizwa mzani...
Hawa wanaojiita Makada wengi wao ni incompetent kuanzia Mahera mpaka shilole. Taifa linalokataa vyama vya upinzani ni taifa mfu na mwendo wa maendeleo yake ni wa kinyumenyume.
Huwezi ukapasua kioo kinachoonesha tasirwa Yako kwa sababu tu kimeonyesha kuwa una kovu. Badala ya kutibu kovu wewe...
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbura, ametoa wito kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa nafasi pekee isiyopaswa kuwania ni ya Urais ambayo tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.