wana ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tujitokeze Kulaani na Kukemea Vikali kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais Wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja...
  2. JamiiForums Tanzania Wana CCM hawa wanakichafua chama

    Nimekuwa nafuatilia mikutano ya vyama mbali mbali vya kisiasa. Kuna siku nikakuta wana CCM wanafanya vikao vyao kwa njia ya aibu sana. Ktk hali ya ulevi na mambo ya hovyo kama mnavyotazama kwenye hiyo clip. Hivi wanatoa mafundisho gani kwenye kizazi kinachoyaona hayo mambo ya hovyo?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema kuona hata wana CCM wamechangia Lissu apate gari, pia inatufanya tuwafahamu viongozi wenye roho mbaya na chuki

    Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja walifunga na kuomba apone lakini wapo waliotamani asiwepo hai. Ukiwauliza Lisu kuwakosea nini hakuna...
  4. JamiiForums Tanzania Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazowahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano. Ally Kessy Mbunge wa Nkasi(CCM), amesema Wazanzibar waache kuwanyonya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu amechagua kumjibu kwa busara na kisoma wakili Fatma Karume na kuwapuuza wana CCM wanaotamani awajibu?

    Tundu Lisu akiwa Dodoma ametoa elimu kubwa sana ya Katiba ya Zanzibar dhidi ya Katiba ya Muungano. Wasomi wengi wamejikuta wakimsikiliza na kwa sasa YouTube majibu clip ya majibu yake ndiyo inaoongoza kutrend katika ukanda wa Afrika Mashariki. Katika majibu yake amempa heshima kubwa Fatma...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

    Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano Pili...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  8. JamiiForums Tanzania Upinzani anzeni kuibua hoja na sera mbadala za kulikomboa taifa, acha kudandia na kuongelea upuuzi wa wana CCM

    Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM? Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM? Kwani kuna jipya lipi...
  9. JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea, Jina Magufuli kununua kila madhambi ya wana CCM? Nchi iliyozoelea umasikini na aibu itajikwamuaje?

    Asilimia zaidi ya 80 ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado wameendelea kuamini njia hizohizo kwamba, zinaweza kuwainua Watanzania na kuiheshimisha nchi! Miradi mikubwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wanakerwa na Makonda ila wanataka madaraka; wamebaki kukimbizwa na misafara watoto wasikose ada

    Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara. Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
  11. JamiiForums Tanzania Nchimbi anawalenga akina nani anaposema wana CCM wasio na misimamo ni ndumila kuwili na hawana sifa ya kuwa wana CCM?

    Nchimbi atakuwa kiboko ya machawa na wanaccm kama akina NAPE na Makamba pamoja na kinana maana hao ni ndumilakuwili hawana msimamo wakengeefu na wenye kugeuka geuka
  12. JamiiForums Tanzania Nasimama na machangudoa, ni wapiga kura, walipa kodi, watoa huduma, wazalendo ni wana CCM

    Habari za wakati huu; Kwanza niseme nimesikitishwa sana na kitendo cha Polisi wa Mabatini kutumia Excessive Force na kuua Raia asiyekuwa na hatia katika kijiwe pendwa cha the Boardroom pale Sinza Mori mnamo siku kadhaa zilizopita.Kwa kweli kitendo kile kimelifedhehesha jeshi letu...
  13. JamiiForums Tanzania Elon Musk awachukue wana CCM katika suala la kupandikiza Ubongo Bandia

    Elon Musk anaendelea na tafiti zake za kisayansi na masuala mazima ya AI. (Artificial Intelligence) Sasa anajaribu kupandikiza Ubongo kwa Binadamu ambao utaunganishwa na Computer. Ushauri wangu. Akamate mwana CCM kwa ngazi yoyote ile kuanzia kapuku mimi hadi aliye na wadhifa. Hawa wakamatwe...
  14. JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana CCM wameendelea kuishi kwa kutoachiana chakula wala maji mezani?

    Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea. Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi hizi kweli wana-CCM wanazitekeleza?

    Hizi ni ahadi 10 za wana-CCM, ipi wanayoitekeleza kwa vitendo zaidi? Au ni kinyume chake? 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

    Disclaimer: Hizi ni Tetesi Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa. Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM. Wana CCM...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  19. JamiiForums Tanzania Wana CCM Wakatoliki Wenzangu je, kuanzia sasa tunabaki na Kulitii Kanisa au tunabaki na Mwenyekiti wetu Taifa na Chama chetu?

    GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki tukuka wa CCM ( japo sina Kadi ya Uanachama ) nasubiri muongozo Wenu manake Mungu na Ukatoliki navitaka na Chama changu nacho nakitaka ila natakiwa nibakie na Kimoja tu.
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Gari letu la matangazo limechomwa moto karibu na Chato. Hatutishiki, Mkutano wa Chato utaendelea

    Gari yetu ya matangazo & vyombo vyake vimechomwa moto na kuharibiwa na wahuni wa CCM usiku wa kuamkia leo karibu na Chato. Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa Tundu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…