Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda.
Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko.
Tunahitaji...
1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Hello wana Jamii,
Niende kwenye Mada/ Kero.
Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ?
Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
GT
Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini.
Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya.
Kwa hiyo mwacheni nyie endleeni kuua na kuteka malipo ni hapa hapa duniani.
Siyo kila wazo la wapinzani ni baya.
Upinzani una kawaida ya kuonyesha mapungufu ya sera za chama kilicho madarakani na kuzikosoa, kwa manufaa ya nchi.
Niseme wazi, mimi ni mwana CCM, kada.
Hiki kilichoongelewa na huyu mwananchi wa chama kingine makes sense.
Viongozi waliopo sasa na waliopita...
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Constantine Sima ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mhandu amedai kufayiwa hujuma na fitina zinazofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kwa maslai yao binafsi.
Akieleza kazi zilizotekelezwa katika kata hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020-2025, Sima amesema...
GT
Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM.
Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha 😆 😄 wakti NRNE inakaribia...
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!!
Hivi hii takataka bado ipo ofisini?
CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi?
Very sad !!
Kichwa cha mada chajitosheleza. Hii inaleta picha kuwa hatuna cha kujadili juu ya nchi...vikao vya chama kwa sehemu zake ziko kujadili haya.
Ifike kipindi hata km tutakuwa wote ni Ccm ndani ya Bunge ni marufuku kuleta mada za chama. Hii inatujengea picha mbaya. Hatuwezi maliza mambo yetu ndani...
Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzengu,nimesikia Jonh Heche anasema Mama pamoja na serikali ya CCM wamewapa Oman misitu yetu ya Tanzania nzima, wao na serikali yao ya Oman wanalipwa pesa nyingi sana kupitia hewa ya ukaa.
Huu ni mkataba wa kidunia inchi zinazochafua mazingira lazima ziwalipe...
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, baada ya kumaliza shule ya msingi mwaka 1986, Sikuchaguliwa kujiunga na secondary ya serikali kwa maana nafasi zilikuwa chache na hata waliochaguliwa pia walikuwa wachache na wakati mwingine shule haitoi hata mwanafunzi mmoja wa kujiunga na kidato Cha kwanza...
Nadhani CCM na viongozi wake kwanza watoke kwenye imani hiyo, inatakiwa iamini kwamba ni sawa na mzazi anaye zaa watoto wengine ni warefu na wengine wembaba na wanene wapo ila wote ni watoto wa mama mmoja sasa ukiona hupendi watoto wanene ukawabagua kwa kiasi hicho na ukawanyima haki zao.
GT
Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao.
Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo...
1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee
2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba
3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende," Wanachagizana kuhujumu uchaguzi,wanaamini hata asiporidhia Mungu wanashinda.
4) "Unaiba kura Kwa njia za...
Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa.
Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu kuogopa kukisemea chama badala yake wanaokisemea chama kwa sasa ni wana habari, wasanii, baadhi ya...
Kijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.