wameshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Ushauri kwa watu ambao pombe zinawatesa na wameshindwa kabisa kuacha kwa kila mbinu.

    Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe. Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi. 1)Kupunguza kiasi cha unywaji. Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe. Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
  2. R

    Viongozi wa dini, masheikh hasa, Maaskofu, Statesmen wote wameshindwa kumwambia /kumshawishi Samia kumwachia Lissu kwa sababu hana hatia!

    Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu? Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
  3. MakinikiA

    Wameshindwa kuwaondoa Wamachinga bora aliyekuwa anakusanya hela za vitambulisho

    Kwa idadi ya wamechinga 7000 kwa 20,000 kwa mwaka ni kiasi gani hapo sasa mlikurupuka na mipango yenu ikaishi ukingoni ,kama mngeendelea kusanya buku 20 leo mngekuwa nazo ngapi zisingetosha hata kununua kununua panadol Naomba muendeleze mambo ya Magufuli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni .
  4. U

    Aksante Mungu kwa ni walio wazaa mabaya wameshindwa na wameaibika vibaya sana, amani amani ni chaguo la wengi

    Watanzania wanajielewa vizuri sana na siyo wajinga kamwe. Kila mtu ameshukuru Mungu kwani mabaya yote yaliyokuwa wakiwazia mashetani yameshindwa mbali sana na amani imetawala. Watanzania wamegoma kutumika wamechagua Amani. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa. Nasimama na Mama
  5. unkownguy

    Tanganyika wameshindwa kustahimili kile Zanzibar imepitia tokea siku ya kwanza ya muungano

    Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya...
  6. R

    Wameshindwa nini hata angalau kusema after 14 days?

    Why indefinite hairisho? Angalau hata kusema after 14 days ya kisheria! Mh? Haya
  7. R

    GE2025 Baba Levo: Wasomi wameshindwa kutusaidia tutajisadia wenyewe, nipelekeni bungeni

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma ,jini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza Oktoba 19, 2025 kwenye mkutano wa kampeni na wananchi wa Businde namna Mchakato wa yeye kuchaguliwa kuwa Mgombea wa Jimbo hilo kutokana na kiwango chake cha Elimu licha ya...
  8. secretarybird

    Hawa Flashscore kudadeki zao, kama wameshindwa kufanya kazi zao waache.

    Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero. Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
  9. DuaZaMama

    GE2025 Mwanachama CUF: Ahadi za CCM ni zile zile wameshindwa kutimiza ndani ya miaka 30

    Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
  10. G Sam

    Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  11. RoadLofa

    Nimepoteza simu Polisi wameshindwa kunisaidia kabisa

    mambo vipi? Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila...
  12. Alibino

    Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita

    Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
  13. Carlos The Jackal

    Anazindua kitu asichokua nacho uelewa wowote, Wameshindwa hata kumpa ABC, anajikuta anauliza maswali yasoendana na alichozindua!!

    Huenda angeambiwa, Asingeenda, angemtuma Naibu Waziri tu !!. Kilichozinduliwa ,katika Teknolojia ya Uranium, ni Uhuni Mtupu
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  15. GENTAMYCINE

    Kuna Member hapa kaja na uzi wenye kuhitaji Akili Kuuelewa akisitika kuwa Mama yake anaendesha Familia yao vibaya, Watu wameshindwa kwenda nje ya Box

    Na ninajua huko aliko anawacheka tu Watu waliokurupuka Kuujibu bila ya kutumia Akili Kubwa kuuelewa na kumuelewa.
  16. Carlos The Jackal

    Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  17. Prof_Adventure_guide

    Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  18. Prof_Adventure_guide

    Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  19. R

    Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

    Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao. Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc. Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha? Tunao zaidi ya 400
  20. H

    Kweli Waafrika wameshindwa kutambua Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao?

    Jabarini, Hivi kweli hata wasomi wa Kiafrika wenye Phd wamegoma kabisaaaa kutambua kuwa Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao bali ni kwaajili ya warabu na wazungu/wakoloni. Yaani wameelezwa kuwa Waafrika wametokana na manyani na wakati huohuo wameelezwa kuwa wametokana na udongo pia wametokana...
Back
Top Bottom