Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House.
Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao.
Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
Polisi Nchini Kenya wameanza msako wa kuwatafuta Watuhumiwa watatu Wanaume kutoka kabila la Wamasai huko Nkareta, Kaunti ya Narok Kaskazini, kwa kosa la kumshambulia kwa fimbo Dada yao kisa amekataa kuolewa na Mwanaume waliyemchagua wao.
Video ya tukio hili iliyosambaa mitandaoni imemuonesha...
Huwezi ukataka kushusha thamani ya mtu mwingine alafu tukakukalia kimya eti kwasababu ya cheo chako, hilo haliwezi kutokea. Na tutakuthibitishia kuwa haliwezi kutokea.
Nchi yetu imejengwa kwenye misingi ya kuheshimu mtu bila kujali kabila lake au dini yake, ila leo mnataka kuleta mgawanyiko...
Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine.
Leo hamna thamani yoyote, waandishi wa habari hawawataki kuwasikia na kureport taarifa zenu, wanasiasa wanafurahi...
“Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako” amesema Mmasai akimaanisha kumpa kura Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Hussein Ali Mwinyi.
Amesema watalii wanaokwenda kwenye mbuga za wanyama wanakwenda kuona pia wamasai kwa hivyo hata hapa Zanzibar kuwa uchumi wa...
Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?”
Mwenye ushuhuda aniambie
Leo nilikuwa natafakari mambo fulani fulani ghafla nikakumbuka hilo neno (Primitive) ambalo lilitumika katika filamu ya Royal Tour ikitambulisha jamii ya kimasai pale porini.
Aah teknolojia imekua sana. Nikavuta simu yangu nikaiuliza akili mnemba juu ya neno hilo kutambulisha maisha ya wamasai...
Na kalaga baho
Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa
Katika pitapita zangu nikakutana na jimama flani hiv "age go" yqni linakula pensheni za pesa hapa...
Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato.
Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi Wamasai wanavyo furushwa kama digidigi ili eneo wapewe Waarabu Wajomba.
Au jiulize Serengeti...
Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa:
"Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo."
Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono.
Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina!
Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo...
Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni nchi ambayo inapokea watalii wengi hawana mbuga lakini wanavutiwa na utamaduni wao...
Kama mnavyojua nchi yetu ina vivutio vingi sana na jamii zimeishi karibu na au kwenye maeneo hayo tangu kale, kero kubwa imekuwa ni kwa askari game ranger, wamisitu na vivutio lakini nahofia huko mbele tutaondolewa kabisa.
Wamasai wametumika kama jaribio.
Ni kweli tumesikia huduma zimerejeshwa...
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For...
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?
je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.