walokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC umejaa walokole na maustadh, tunahitaji wahuni na watoto wa mjini pale juu vinginevyo ubingwa tutausikia redioni

    Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake. Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena. Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe, sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli, bila...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini walokole hutaka kuvuna wasipopanda? Je, huu ni wizi wanaofundishwa makanisani?

    Naandika hili kwa masikitiko Sana kwamba ujambazi au wizi unafundishwa makanisa haya ya kilokole. Mfano ukienda makanisa haya utaambiwa kesho utakuwa tajiri au utaokota fuko la hela wakati inajulikana ili upate hela lazima ufanye kazi za jasho. Hawa wanapelekea kuwa ikitokea ukapoteza waleti...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi wa binti wa Kilokole wamenikataa hata baada ya kusema nitabadili dini na kuwa kama wao

    Nimempenda binti wa kilokole sanaa, mnooo na nataka kumuoa. Sujaomba hata busu nikaomba kwenda kwa wazazi wake ili nifuate taratibu zote na si uchochoroni. Cha ajabu wazazi wa binti wamekataa kisa mimi sio wa imani yao. Nikasema okay, mimi nakuja kuokoka na nitakuwa muumini wa kanisa lao bado...
  4. JamiiForums Tanzania Wachungaji na walokole, tunagongewa sana wake zetu

    Shalom walokole wenzangu na wana JamiiForums wote kwa ujumla. Sisi walokole wengi tumekuwa kama manyumbu, Nadhani wengi mliona ile video iliyo leak ya baba askofu, ambayo baadae kitengo cha Forensic cha Polisi na UDOM vikatutonya kuwa eti sio video halisi ila fabricated. Askofu alipiga show...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…