walimu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimeona wabunge wanalalamikia shule zao kutokuwa na walimu wa kike, mbona huku Arusha ni wengi sana kuna shule ina mwl moja tu wa kiume

    Nimesikiliza wabunge wakilalamikia shule zilizo ktk majimbo yao kutokuwa na walimu wa kike wa kutosha, kwanza wanawatakia nini? Pili mbona huku Arusha hasa wilaya za Arumeru na Arusha walimu wa kike ni wengi sana kiasi kwamba kuna shule kwa mfano shule ya Sekondari Kaloleni iliyo ktk jiji la...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa nasoma walimu wa Kikenya walikuwa wanakunywa uji wakiwa wamesimama

    Nakumbuka wakati naanza safari yangu ya kitaaluma pale Eden Valley primary school iliyopo buswelu mwanza, moja ya kitu kilikuwa kinanishangaza kuhusu hawa wakenya ni kitendo chao cha kunywa uji mstarini wakiwa wamesimama. Kama mtoto niliekuwa najifunza tabia njema niliona ni kinyume na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni ipi sauti huru ya walimu?

    Ni ipi hasa sauti ya walimu katika taifa letu? Je, ni sauti inayosikika, inayoheshimiwa, inayotetewa? Au ni sauti iliyozimwa kwa hofu, ukimya, na matumaini hewa? Walimu ndio wanaochonga maisha ya kila kada ya jamii – wanasheria, madaktari, wahandisi, hata viongozi wa kisiasa – wote walipitia...
  4. JamiiForums Tanzania Mkopo wa bilioni 2.85 chama cha walimu ziliafikiwa chini ya rais Leah Ulaya, walimu tumeshtuka, box la kura litaamua

    Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT, Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno. Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji. Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo. 1. Uelewa mdogo wa mfumo Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
  6. JamiiForums Tanzania Jamani hivi walimu wakuu shule za sekondari huwaga wanapata muda wa kusoma barua zilizo tumwa kupitia S. L. P?

    Au nisipoteze muda wangu? Ushauri wenu tafadhali
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
  8. JamiiForums Tanzania Shule binafsi tutumie walimu maroboti ili kubana matumizi

    Ni Muda Mwafaka wa Shule Zetu za Binafsi na Vyuo Binafsi Kuanza Kutumia Maroboti Kufundisha Ili Kubana Matumizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendelea kwa kasi kiteknolojia, matumizi ya maroboti na akili bandia (AI) katika sekta mbalimbali yamekuwa yakiongezeka kwa kasi. Moja ya maeneo ambayo...
  9. JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

    Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule Tusiime yadaiwa kuajiri walimu wa Uganda, Watanzania kuondolewa

    Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo. Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

    Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
  12. JamiiForums Tanzania Mradi wa Boost wawezesha walimu 1,800 kidijitali kuboresha elimu msingi

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi, yaliyotekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa ushirikiano kati ya Wizara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  14. JamiiForums Tanzania Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa. Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao. Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mitume wa Yesu wangerudishwa leo duniani wangehubiri huu upuuzi unaohubiriwa na mitume na walimu mamboleo?

    Wewe unaueyumbishwa na wimbi la hawa matapeli wanaojiita mitume, manabii na walimu tafakari vizuri. Mitume wale waliotembea ma Yesu wangepewa kazi warudi duniani wangekuja kuhuburi hii injili uchwara inayohubiriwa leo makanisani na redioni? Wangekuwa wanabwabwaja kwa lugha za mashetani...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu wasio na ajira wasakwa kama ndege na Jeshi la Polisi!

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Tunaomba msaada wa kumsaidia mwalimu Mohonia Joseph aliyekamatwa jana. Huyo ni mwalimu mwenzetu tusiokuwa na ajira ambao tulianzisha vuguvugu la kudai haki ya ajira. Alikamatwa jana majira ya saa 6 mchana na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Nyamagana, Mwanza na...
  18. JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  19. JamiiForums Tanzania CHAKAMWATA kwenda Mahakamani kuzishtaki Halmashauri nchini kwa kutowalipa Walimu Tsh. Bilioni 12

    Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya Tsh. Billion 12. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya, Aprili 08, 2025, Katibu Mkuu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini walimu ni watu wa kulalamika sana utafikiri wao ndio wenye ukata pekee yao au kuzidi wengine

    Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini, Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…