walimu

  1. JamiiForums Tanzania Kazi za ovyo kwenye nchi hii

    Assalaam aleykum, Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana. 1. ASKARI...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iache kuwadhalilisha walimu kwa kugawa vishkwambi, waboreshe maslahi yao ili wanunue wenyewe!

    Serikali ya CCM Acheni kutudhalilisha makada waaminifu kama sisi KWA hoja za hovyo zisizo na afya KWA Taifa! Hivi mnafikiri vishkwambi KWA walimu;- 1.Vitaongeza maslahi yao ya kazi!? 2.vitawapa unafuu wa mfumuko wa bei ya chakula na mahitaji mengine!? 3.vitawapandisha madaraja wale...
  3. JamiiForums Tanzania CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa wiki moja Walimu wote wapate vishikwambi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Vishkwambi sita kwa walimu zaidi ya 20, nini maana yake?

    Inawezekana ni kweli wana nia ya dhati kuwawezesha walimu katika TEHAMA, lakini kwa ugawaji huu haitasababisha mgawanyiko au upendeleo? Naona shule x leo wamegawiwa walimu watano na mkuu wa shule! Je, ni sawa?
  6. JamiiForums Tanzania Walimu vishikwambi achaneni navyo jikiteni kwenye allowances tu msichomoke zaidi ya hapa

    Walimu wanakimbizana na kupigana maofisini kwenye mgao wa vishikwambi vya sensa nakuanza kulialia kuwa wanaonewa. This is bullshit yani serikali hii inawaona walimu kama primitive generation ndio maana kwenye shughuli ndogondogo na vimgao vya hovyo wanapewa wao ila sio big agenda kama maposho...
  7. JamiiForums Tanzania Walimu: Kuna Readings za Namna Hii Kwenye Vifaa Mnavyofundishia?

    Zoezi linajieleza: Nimeshitushwa na numbering kwenye thermometer ya swali walilopewa watoto wa jirani yangu kama homework
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kero ya Walimu msingi kudai michango mingi; ni makubaliano ya kikao feki cha wazazi feki

    Shule nyingi za msingi za serikali siku hizi zimejaa michango mingi sana ambayo inaleta matabaka kwa watoto! Walimu wanachangisha hela ya mitihani kila siku 1000. Ndoo mpya kila term, Fagio jipya kila mwezi, Hela ya safari (tour) kwa mgongo wa hiari huku nyuma wanawapiga mkwara watoto kwenda...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ila mambo mengine bwana, sasa kuwalazimisha walimu waandike maazimio ya kazi (schemes of work) kwa mkono ndo nini? Inaongeza ufaulu?

    Sijawajua vizuri sana viongozi wa kada zingine, lakini nadiriki kusema hawa wanaopanda ngazi na kuwa viongozi wa walimu hubadilika na kuwa na roho ngumu sana! Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, kizazi hiki cha computers ambapo hata vishikwambi vimeanza kufikiriwa kugaiwa kwa kila...
  10. JamiiForums Tanzania Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

    Tarehe 4/11/2022 Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini! Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake, Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu! Mimi nishauri...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Walimu wapewa Vishikwambi kwa kubaguliwa

    Baada ya zoezi la sensa na makazi kumalizika, Serikali ilitangaza nia njema ya kugawa vishikwambi vilivyokuwa vinatumika katika zoezi hilo kwa kila mwalimu wa shule ya Serikali wa shule ya msingi, sekondari na vyuoni hapa nchini. Zoezi Hilo limeshaanza kutekelezwa ila likiwa na sura nyingine...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Walimu wapewa Vishikwambi kwa kubaguliwa

    Baada ya zoezi la sensa na makazi kumalizika, Serikali ilitangaza nia njema ya kugawa vishikwambi vilivyokuwa vinatumika katika zoezi hilo kwa kila mwalimu wa shule ya Serikali wa shule ya msingi, sekondari na vyuoni hapa nchini. Zoezi Hilo limeshaanza kutekelezwa ila likiwa na sura nyingine...
  13. JamiiForums Tanzania Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam. Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi. Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana. Je, walimu wa hii...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya sayansi jitathimini

    Niende moja kwa moja kwenye mada walimu wa masomo ya sayansi ebu angalieni ufauru wa matokeo ya wanafunzi kidato cha pili arafu mkae chini mjitathimi maana haiingii akilini mtoto wa kidato cha pili anaepata A somo la kingereza arafu anapata F somo la Biology au Chemistry kidato cha pili kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kujenga madarasa, Rais Samia sasa ahamie kwa walimu

    Sote tunafahamu kuwa katika mwaka wa kwanza wa uongozi wa Rais Samia Suluhu, Serikali imefanikiwa kujenga vyumba vipya vya madarasa 15,000 kwa ajili ya wanafunzi wa Sekondari pamoja na shule za msingi (shule shikizi). Mwaka uliokwisha (2022) Serikali imejenga vyumba vya madarasa 8,000 kwa ajili...
  17. JamiiForums Tanzania Majina ya Uhamisho wa walimu yanatoka lini ?

    Wajumbe Nataka kufahamu ni lini huwa majina ya uhamisho wa walimu huwa yanatolewa na Tamisemi. Msaada
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

    KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022. Hali hii imekwenda mbali...
  19. JamiiForums Tanzania Shule inayotembea

    Tuition nyumbani Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada. Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi. PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm. 0622374787 or PM to get my email
  20. JamiiForums Tanzania Tusimulie visa vya Walimu wa Sunday School

    Maisha ya Sunday school yalikuwa raha sana, pamoja na raha zake kulikuwa na vituko na vioja vya hapa na pale. Mimi nilikuwa na allergy na mama mmoja hivi, yeye alikuwa kiwaki sana akitusalisha anatumia dakika nyingi sana kusali kwake kama dakika 5 hivi ambazo zilitosha mimi kuimaliza Atlas...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…