walimu wote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inadaiwa walimu wote Mwanza watakiwa kufika Airport kumpokea Rais Samia Juni 15, 2025 wakati anafika Mkoani humo kwa ziara

    Inadaiwa walimu wote Mkoani mwanza wametakiwa kufika Airport Mwanza kumpokea Rais Samia Juni 15, 2025 wakati anafika Mkoani humo kwa ziara. Huu ni ujumbe unaotumwa kwa walimu wakuu ili waufikishe kwa walimu walio chini yao.
  2. C

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rudisheni utaratibu wa mwanzo kuwapigia walimu vituo vya kazi ninyi wenyewe huko kwa sasa walimu wote wana vimemo,wanaishia mjini

    Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu wote wanaishia shule za mijini zilizo rundamana walimu na wanaenda kiripoti na vimemo , huku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
Back
Top Bottom