Hi guys,.hope mko poa
Tunavyoendelea kumwomba Mungu kuelekea kesho D9 basi tusisahau kula..... Haya tuanze
Ukishaweka mchele wako kwenye rice cooker au vyovyote vile utakavyoupika,. Pembeni tutaanza kupika samaki,. Kwenye sufuria yako utaanza kuweka mafuta kidogo,. vitunguu hoho na carrot kama...