walezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Sheria inayomhukumu miaka 30 mwanaume aliyemtia mimba binti wanafunzi au aliye chini ya miaka18 ni kandamizi na inasababisha mzigo mzito wa walezi

    Ni kweli kutiwa mimba kwa mwanafunzi au msichana chini ya miaka 18 inamnyima fursa huyo binti ya kusoma na kutengeneza maisha yake ya baadae! Leo waziri wa Elimu Joyce Ndalichako anatarajiwa kutoa waraka wa kuwaruhusu mabinti waliotiwa mimba kuendèlea na masomo! Je nauliza maswali yafuatayo...
  2. Nyendo

    DC Singida: Wasiopeleka watoto wa kike shule tutawachukulia hatua

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua. Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
  3. C

    Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

    Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata...
  4. DolphinT

    Elimu bora inahitaji ushiriki wa wazazi na walezi

    Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini wazazi/walezi waliotuchapa viboko vya uhakika leo wanatuzuia na kawatetea tunapowachapa watoto wetu?

    Kuna muda huwa nakaa na siwaelewi Wazazi (Walezi) wetu ambao wakati akina GENTAMYCINE tukiwa Watoto miaka ya mwanzoni mwa 80 walikuwa wakituchapa Bakora (Mboko) tena za Kishalubela (Kikatili) ili watunyooshe Kitabia na Kimaadili ndiyo hao hao Leo hii nasi tukiwanyoosha Wajukuu zao (Watoto wetu)...
  6. mathsjery

    Wazazi, walezi mnaonaje hili suala la kufanya kila mtu kuonekana ni ndugu kwa watoto wenu?

    Kuna tabia ya wazazi ama walezi wenye marafiki mbalimbali pia hata majirani kuwaambia watoto wao kuwa, waitane kaka na dada ama mjomba ama aunt. Hapa sijaeleweka ngoja nitoe mfano. Wewe una mtoto mdogo na jirani yako naye ana mtoto mdogo, yule mtoto wako ukamsikia anamsalimia yule jirani yako...
  7. Dr Lizzy

    Wazazi/walezi tuna-fail wapi?

    Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 🙁🙁 (May their little souls Rest in Heaven 👼👼) Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding...
Back
Top Bottom