Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa.
Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza.
Nimetoka zangu safari nikapoa lodge ilia asubuhi nifanye mishe zangu hapo mwanza then nigeuke
Asubuhi nafunga mlango wa...
Ccm oyeee!!!!!!!
Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.
Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula...
Habari !
Naomba kuuliza,
Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela?
Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida...
Kuna wale jamaa hela alizotafuta yeye ni zakufanyia maendeleo ila ulizotafuta wewe anachukulia kama ni zakunywea pombe.
MNASHINDA MAZINGIRA YENYE FURSA SAWA KWENU, NA AU MDA MWINGINE YEYE MDA WOTE YUPO KIJIWEN ANAPIGA STORY
Ila kila mkikutana anakwambia "nipe buku5 nikatoe lock
HUWA WANANIPA...
Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa.
Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi.
Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus.
Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana.
Ila ni kwamba vilevi...
Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka
Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu...
Habarini za weeknd wana JF
Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ?
Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
Tuseme ukweli, walevi wana kipaji cha hali ya juu cha ubunifu. Wakati sisi wengine tunahangaika kutafuta sababu za maana za kufanya maamuzi maishani, wao hawana muda wa mawazo magumu—maisha ni mepesi tu: Kila siku ni sababu ya kunywa.
Jumamosi? Ni siku ya kupumzika.
Jumapili? Yesu alikunywa...
Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa bill mimi kwa mtu mmoja, ni karibu na maeneo ya Morena wenyeji mtaelewa
Na huu ni ushauri kwa walevi wote wanaoishi Duniani.
Walevi naongea na walevi wote dunia nzima wale wastaarabu nawaweka pembe ila walevi ambao sio wastaarabu huu uzi unawahusu, mkishalewa tafadharini sana ndugu zangu walevi nendeni mkalale acheni matusi na kuongea lugha chafu na kumtukana mtu...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa...
unakuta mtu anaeleza changamoto za ndoa yake kwa vitoto vya 2000 counter,huyo bar med atakusaidia nini zaidi kujizalilisha..wengine wakunywa pombe kali hawajala matokeo yake wanajisaidia haja kubwa mitaani mambo ya hovyo kabisa.
kesho tena linaingizana likiwa timamu watu wanalisanifu tuh. huu...
Nchi hii imebaki tupu kila mahali, watu wameenda wapi? Vijijini hakuna watu kabisa, kuna wazee wazee wachache tu wanaosogeza sogeza siku huko, na vijana wachache wanasukuma sukuma siku zipite kwa visungura vile vikali kabisa…, such a hopeless life.
Kweli ndio tuseme vijana wote wapo mijini...
Huwa siielewi Tabia za walevi. Yaani ghafla mtu anang'ang'ania kuvua shati...
Nini hutokea?
Mwingine akilewa ndiyo Sasa ataanza kuimba nyimbo na kucheza Ngoma za kwao. Pombe ndiyo imemkumbusha hizo nyimbo na Ngoma?
Kuna tabia za walevi hushangaza Sana.
Ulevi ni janga na Changamoto inayokabili watu wengi sana.Ulevi huwa unaathiri familia na maisha ya watu.
Katika kukabiliana na Changamoto hii ninakusudia kuanzisha Jumuia za Walevi wanaotaka kuacha ulevi.Walevi hawa watkutana katika maeneo fulani na kujadili changamoto zao bila kuwepo na kilevi...
Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi.
Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena?
Ipo wapi nguvu ya vetting kwa viongozi?
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa:
1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato kinachopatikana mikononi mwa watu, hasa katika tabaka la kati, kumefanya pombe iweze kupatikana kwa urahisi zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.