Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo, amesema Serikali inapanga kuanza kupima utendaji wa kila mkoa kulingana na uwezo wake wa kuwezesha biashara na kuvutia uwekezaji.
Akizungumza katika Mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya...
Zamani wakuu wa Mikoa na Mawaziri walidumu mno kwenye nafasi zao.
Hapakuwepo hizo teua asubuhi tengua jioni
Shule tuliwajua wakuu wa mikoa wote na Mawaziri tuliwajua pamoja na wizara walizohumu
Mkuu wa mkoa alidumu zaidi ya miaka 15
1. Dar ES Salaam
Alikuwepo
Abbas Kando _ hadi Leo maji ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
Mh Rais NATUMAI HUJAMBO na shikamoo!
MH RAIS Kwa Hali ya upepo tuliyonayo Tanzania bara nashauri tafadhali. Badilisha wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi
MH RAIS Kuna walio tuumiza kabla ya uchaguzi tunapoendelea kiwaona maofisini tunashikwa na hasira.
MH RAIS tunaomba na IGP mpya...
Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
Mdau unayajua majukumu ya mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya?
"Futa wakuu wa wilaya, futa wakuu wa mikoa, hakuna kazi wanayofanya" Boniface Mwabukusi, Rais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS).
RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo hilo leo tarehe 26 Agosti 2025 Ikulu.
Kihistoria utamaduni wa rais kuongea na wazee ni jukwaa...
Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa.
Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja.
Hana makazi ya kudumu.
Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa.
Uwepo wake ni baada ya uteuzi tu, kama asingeteuliwa asingegombea...
Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri.
Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
Tangu juzi tumeona Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali ikiwaleta Wakuu wa Mikoa kueleza kilichofanyika katika mikoa yao katika kipindi cha miaka minne ya uongozi uliopo madarakani.
Ni wazi kuwa katika kila mafanikio changamoto hazikosekani. Sasa mimi hupenda kufuatilia mawasilisho hayo, lakini...
Wana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Je, sisi Raia wa Oman tunajua hasa maana ya Balozi (Diplomat) na Mtu kuwa Balozi?
au tunapoteua huwa tunakuwa tumeshakunywa Wines zetu za Canada na Ufaransa?
Hongereni Watani zangu Washamba Waha kutoka Kigoma kwa Katibu Mkuu wa UN kuwaleteeni Balozi labda mtabadilika sasa na kuwa Wastaarabu...
Kwa mfano, leo nimemsikia Mkuu wa Mkoa wa Tabora akiahidi Tshs Milioni 60 kwa wachezaji wa Tabora kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga. Huu ni mfano mmoja tu miongoni mwa mingi ya namna hii.
Swali langu ni Je, pesa hizi zinatokana na kodi za wananchi au ni pesa zao binafsi au kuna fungu/bajeti...
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.
Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi mbalimbali iliyosalia kwa kushirikisha wabunge.
Akizungumzia suala hilo, Mchengerwa...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)
Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.