Habari za asubuhi
Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha.
Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka...
Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao!
Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu
Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala...
Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako.
Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai?
Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa.
Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa.
Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
Kwa bahati mbaya, kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kufunga, na hasa kwa sababu mwaka huu Kwaresma ya Wakristo imeangukia kipindi sawa na Ramadhani ya waislam.
Mbaya zaidi mijadala imekuwa ya kejeli, kujionesha nani yupo sahihi, na nani hayupo sahihi.
Siongelei funga ya waislam kwa sababu...
Kuna jamaa muislamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa saa moja kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shekhe aliefungisha ndoa kapigwa buku 5 tu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu
Lakini pia tuwaombee watu...
Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni.
Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo.
Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana...
Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua.
Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.
Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.
Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK.
Akiwa na umri wa miaka 40
Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia
Tukio lilitokea pangoni...
Maandiko ambayo Yesu anaonyesha kuwa si Mungu
1. Yesu anamwita Mungu wake
📖 Yohana 20:17
“Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba wenu, Mungu wangu na Mungu wenu.”
👉 Kama Yesu ana Mungu wake, basi anajitofautisha na Mungu.
2. Yesu anasema Baba ni mkuu kuliko yeye
📖 Yohana 14:28
“Kwa maana Baba...
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika
Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa...
Nadhani ni ukosefu wa uelewa
Sielewi wanachogombania Wakristo na Waislamu ni kitu gani
Kila siku kelele za Waislamu wamefanya hivi mara Wakristo wamefanya vile
Tofauti ya hizi Dini ni Lugha na Utamaduni
Zote zipo ndani ya dunia moja sijaona dunia mbili
Mwenye hii dunia ni mmoja
Dini hizi...
Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe.
Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia Kanisa Katoliki la Roma, kutalidhoofisha, bila ya kufahamu kuwa Wakristo wote ni Wakatoliki. Katoliki ni...
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa
Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.
Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua.
Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae ,
Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo.
Nimefanya Tafiti (Observetional) yangu duniani kote, nikagundua wakristo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.