wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mababu zetu wa zamani, kimsingi hawakujua kanisa wala msikiti wako motoni au ilikuaje?

    Wakuu. Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu, Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita, Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua kusoma wala kuandika muda huu wako motoni au wako wapi hasa,
  2. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

    Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
  3. JamiiForums Tanzania Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

    achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani. ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania WITO kwa Mwenye Mamlaka, wenzetu hao hata uwatendee wema vipi hawanaga shukrani fuata mfano wa mtangulizi wako!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni ushauri tu kwa mwenye mamlaka kuwa hawa wenzetu hata uwafanyie jambo gani jema hawanaga shukrani Kwamba wao kila siku ni kulalamika , kudai na kudai, kuzusha na kuzusha yaani hawanaga jema! Yaani ni watu wasiofaa hata kidogo! Hivyo Mwenye Mamlaka dawa Yao ni moja...
  5. JamiiForums Tanzania Mwalimu jenga mahusiano bora na mwanafunzi wako

    Image Source: Pinterest Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa, "Walimu wanaotanguliza uhusiano sio tu kuwa na wanafunzi kwa mwaka mmoja. Wana wanafunzi wanaowaona kama mwalimu wao wa Maisha" Mateso tuliyopitia kwenye elimu yetu si lazima kizazi hiki kipitie. Mateso yaliyofanya wengi kutokujiamini...
  6. JamiiForums Tanzania Jikosoe udhaifu wako [Thread]

    Mimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
  7. JamiiForums Tanzania Kugusana na mpenzi wako ni lugha ya kimia ya upendo

    Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno huzungumza moja kwa moja na moyo na nafsi, kuwasilisha hisia ambazo mara nyingi maneno hushindwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hiki kisa changu naweza kupata madai yangu NSSF?

    Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia.. Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  10. JamiiForums Tanzania Pesa ya mpenzi wako haikuhusu

    Hata siku moja usitegemee wala kutarajia hela kutoka kwa mpenzi wako, iwe ni kuomba au kumkopa, na ieleweke ya kwamba hapa nazilenga jinsia zote mbili. Zingatio zaidi kwa upande wa mwanaume, jiepushe kujenga mahusiano na broke woman kwa sababu atakua liability kwako. Binafsi nikiwa katika...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Samia Kum-Endorse Dr Ndugulile; Mtangulizi Wako Aliwazuia Membe, Likwelile na Mulamula Wasiende AU

    Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU. Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr Faustine Ndugulile bali pia amemfanyia Kampeni kushinda nafasi ya Director- WHO Africa. Magufuli...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani hutakiwi kumshirikisha mpenzi wako, hata iweje?

    Mimi huwa najikuta very uncomfortable kushare mambo au shida za familia kwa mwenzangu hata kama mara nyingine anasisitiza naona kama kuna siku tukikwazana he will use that against me. Japo yeye anasisitiza kuwa tunatakiwa kusaidiana kwenye shida na raha lakini bado sijashawishika na hii kauli...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Anakupenda wewe au anakupendea uongo wako?

    ANAKUPENDA WEWE AU ANAPENDA UONGO WAKO? SWALI MUHIMU KUJIULIZA 😊 Yawezekana yupo kwako kwa kuvutiwa na majigambo yako uliyojivika na kuonekana mtu mwingine ila siku ukirudi uhalisia unakuwa sio yule anayemuhitaji 😔 Katika kutafuta kukubalika kuna watu hudanganya ili tu wawe kwenye hadhi ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama uko serious kuja kinachoendelea Tanzania njoo JF utapata ukweli halisi, wasaidizi wako hawatakwambia ukweli

    Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF! Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
  16. D

    JamiiForums Tanzania Utajisikiaje, Mchungaji wako au mwanasheria wako, akimuoa au akiolewa na Mtalaka wako?

  17. JamiiForums Tanzania Chuo gani huwezi pendekeza mdogo wako aende hapo?

    Oya bongo kuna vyuo vingi kwa level ya degree, lakini je ni chuo kipi huwezi kupendekeza mdogo wako eande akasome hapo? Sababu ni nini,?
  18. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui?

    Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui kama linakukwaza. Tupa jiwe gizani ujumbe ufike
  19. JamiiForums Tanzania Hii taadhari itakusaidia: Ubongo wako hauwezi kutofautisha kama unaigiza unatania au uko siriasi

    Hii ni moja ya taarifa sahihi ambayo unapaswa kuitumia kwenye maisha.. Ukipenda kuigiza unakufakufa, au mchawi au kufanya drama za mizaha ubongo wako hauwezi kutofautisha na pale unapokuwa siriasi. Ndio maana Mungu anakemea mizaha. Zaburi 1:1 Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha...
  20. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wako talented sana

    Hii ni talent nyingine iliyopo Tanzania. Tuisupport kwa hali na mali. Huu ni mfano tu wa talents nyingi zinazopatikana katika nchi yetu. All the best. Nionyeshe Njia https://youtu.be/3mbpuIq7Nx0?si=nPosM5gXcZUXkAnZ Sijui Kuhusu Kesho https://youtu.be/eLEB5_q74lc?si=IQsKFOW0uJWNt6zo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…