wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  2. Sensa ya 2022: Zanzibar wako vizuri kuliko Tanzania bara

    1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+ Tanzania bara= 82.5% Zanzibar= 88.8% 2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao Tanzania bara= 64.5% Zanzibar= 71.3%
  3. Kilogram ngapi za maji zipo katika mwili wako

    39.2kg ni uzito wa maji katika mwili wa mtu ambaye uzito wa mwili wake ni 56 kg. Ndo sababu ya kusema 70% ya mwili wako ni maji.
  4. D

    Wananchi wamekuwa confused hawajui washike lipi. Ni kama wako in prisoners dilemma

    Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects. Kuna wale wanasema Samia anafanya mambo lakini wanasikia mikutano ya Chadema na kumproove wrong kwa trivial issues eti anauza bandari na...
  5. Tafadhali mpatie supplier wako address yetu

    Ofisi zetu Tanzania zipo kariakoo mtaa wa Ndanda na Muhonda WhatsApp/Call +255 697 692 507 Rate yetu Kwa normal goods (mizigo isiyo na sumaku battery au majimaji ) ni USD 11.5 Kwa kilogram
  6. Ushawahi kufumaniwa basi tupe uzoefu wako.

    Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
  7. S

    Ulitongoza mwanamke wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
  8. Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  9. Ni komenti yako ipi au uzi wako upi uliouanzisha ambao unatamani uufute? Ya kwangu mimi ni hii

    Eeh bhana Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha. Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo. Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa...
  10. Utafanyaje mkeo au mumeo au mzazi wako akiwa na mambo ya Kishirikina? Hivi ñdivyo utakavyofañya

    UTAFANYAJE MKEO AU MUMEO AU MZAZI WAKO AKIWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA? Hivi ÑDIVYO UTAKAVYOFAÑYA. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli. Mtu yeyote ambaye haamini nguvu za Mungu huyo ni mshirikina. Mtu yeyote ambaye anaamini nusu kwa nusu ñguvu za Mungu huyo ni Mshirikina. Inaweza ikatokea...
  11. Unatarajia Mbunge wako leo atapiga Kura ya Ndio au Hapana kwenye Bajeti Kuu ya Serikali?

    Leo, Juni 26, 2024, Wabunge wa Tanzania wanatarajiwa kupiga kura ili kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha ujao. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa kupanga na kugawa rasilimali za taifa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo na matumizi mengine ya serikali. Mchakato huu...
  12. W

    Ukipewa urithi wako unaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

    Habari Wadau, Ni nadra sana kwa mtu kuwa bilionea, hasa akiwa na umri mdogo. Hii ni orodha ya mabilionea vijana ambao wametajwa na Jarida la Forbes kwa mwaka 2024, kuwa matajiri wadogo zaidi duniani. Ikiwa elezwa kuwa chanzo cha utajiri wao ni urithi kutoka kwa wazazi na familia zao. Kwa mara...
  13. M

    Usifanye watoto wako wachukie wajomba na baba zao wadogo kwa matatizo yako 😊

    USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊 1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba. 2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe kwa 100% 3 Wakikuta una chumba kimoja mnabanana humo wa kulaumiwa ni wewe na sio mjomba...
  14. M

    Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

    Habari wadau. Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
  15. Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  16. 1

    Mama ni wakati wako AMUA!

    Jambo moja kubwa na hakika ambalo ukiwauliza raia wa nchi nyingi za Afrika magharibi au tuseme global south kuwa wanajua nn kuhusu Tanzania kwanza watakwambia wanaRais mwanamke!Wanaweza kukwambia pia juu ya mt.Kilimanjaro,Serengeti,baba wa Taifa JK Nyerere,beautiful flag,wasanii kama Diamond na...
  17. Mwanamke ambaye hajijali na hajali hawezi kukujali wala kujali Watoto wako

    MWANAMKE AMBAYE HAJIJALI NA HAJALI HAWEZI KUKUJALI WALA KUJALI WATOTO WAKO Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Unaweza ukawa kijana smart na mwenye bidii ya kutafuta maendeleo. Lakini ukajikuta jitihada zako zinaishia ukingoni baada ya kukutana na Mwanamke kisha ukamuoa(ukaamua kuishi naye)...
  18. Hawa watu (journalist) wako pande zipi now?

    Huyu bw. Mdogo anaitwa Spencer Lameck, na yule sijui Buhoela, Wamepotelea wapi? Spencer nilitegemea awe hata huko bbc kwajinsi alivyokuaga mahili kwenye fani yake. Tangu afe jiwe na wao wamepotea Kabisa kabisa
  19. Wako wapi ndugu wa ukoo wa Mtume Mohamad SAW ?

    Usiniulize kuhusuYesu,huyo tumuweke kiporo kwanza. Mtume Mohamad SAW ni wa juzijuzi tu,sasa napenda kujua nduguze walipo yaani ukoo wake,bila shaka bado wapo, hatuwezi pata hata majina na picha zao?
  20. Wamama/wadada kama umebahatika kukuzwa na wazazi wako wawili, ujue hela iliyokukuza ilitoka kwa baba!

    Kuna mtu aliuliza swali hili hapa kwenye mtandao wa "X". Nasikitika majibu ya jinsia ya kike ni kana kwamba hawajitambui kabisa! Sasa nawaambia acha kuendelea kuvuna laana! Wababa hatutaki kujionyesha! Kipato kinachoendesha familia hata kama mama ajimwambafai kuwa ni yeye, nguvu ya hicho kipato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…